Kwa nini Tanzania haina shirika bora la ndege kama RwandaAir?
Kwa nini Tanzania haina jiji safi kama Kigali?
Kwa nini Tanzania ina kiwango kikubwa cha Rushwa kuliko Rwanda?
Kwa nini Rwanda inazipita nchi zote za Africa Mashariki katika kipengele cha urahisi wa kufanya biashara?
Yes hizo ni sababu nzuri atleast wewe unaleta hoja.
1. Tanzania tuna majiji/Miji masafi ila sio Dar, Sehemu kama Tanga, Moshi, Arusha, Iringa etc ni kusafi. Hili linatokana sana na Exposure ya hizo sehemu na watu waliostaarabika.
2. Ndio tuna Rushwa kubwa compare na Rwanda ila hili linachangiwa zaidi na Sera ya Udikteta, mfano wakati wa Magufuli Tanzania pia rate ya Rushwa na Discipline vili improve.
3. Ease of doing business kwa Investors wa nje ni kweli, imeshuka Sana Tanzania hasa wakati wa Magufuli, ila still Urahisi wa kutoboa kwetu hapa hapa nchini ni mkubwa, na siku zote Sheria zetu zinatulinda sisi. Mfano kwa Rwanda Mgeni anaweza nunua Ardhi, Tanzania huwezi bila kupitia Msururu wa urasimu, na Eneo Usipoliendeleza muda wowote Serikali inalichukua, ndio maana kwetu hatuna matatizo ya Nchi nyingi za Africa kwa wachache kuhodhi Ardhi kubwa. Pia matajiri wakubwa wakubwa Tanzania ni wazawa wa hapa hapa, Rwanda kampuni zao nyingi ni vidogo mno, nine google hapa Benki za Taifa, na Kampuni kubwa kubwa Turn over zao unakuta ni 25-30M that's it, Kama bank ya Rwanda 27M, for comparison Nmb peke yake ilipost faida 420B ambayo ni kama usd 150M, so faida tu ya NMB mwaka Mzima ni pato mara 5 ya benki Kubwa Rwanda. Tanzania kampuni zote kubwa ni local Owned, tumepita Nchi zote za Africa ya Mashariki kwa uwekezaji mkubwa wa wazawa. So Wawekezaji wa nje wanapata Ugumu Tanzania ila Wawekezaji wa Ndani wanafaidika.
4. Shirika la ndege sidhani kama ni hoja ya maana, Hapo Rwanda linatia hasara kila mwaka na Hapa Tanzania pia linatia hasara kila mwaka,
en.m.wikipedia.org
Angalia hapo toka lianzishwe hilo shirika ni hasara tu na Serikali inatoa ruzuku, Mamia ya Mabilioni Serikali inapoteza kila mwaka ili kuhakikisha hawafilisiki, for what? Tofauti ya Kagame na Magu/Samia ni ipi hapo? Wote wananunua Ndege zinazojiendesha kihasara?