baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
CCM wana matatizo yao ila hawajafikia level ya Kagame, mfano Kigali hapo wapo tu 1.7M na dar ni kama mara 5 ya Kigali population ila Kigali ina slums nyingi zaidi kuliko dar, vinyumba vya udongo kibao, kifupi Rwanda Utajiri wao wanao watu wachache na Nchi nzima wapo kwenye Umasikini mkubwa.Tupe tofauti ya anachofanya kagame rwanda na inachofanya ccm Tz.
Kwa taarifa yako nimepigana vita vya Idd Amin nikiwa Operation Kagera kwa hiyo nina uzoefu wa kutosha! Wewe kunguru mwoga utachukuliwa hadi mke!Keyboard warriors na nyie watoto wa 2000 mnapenda vita sana. Siku mkiipata mtakua mabalozi wa kutoa elimu
dalili inaonesha hivyo kwa sasa,kwamba watampiga very soonJe, ni kitu gani kinampa ujasiri wa kuwadharau Marais wa nchi zingine?
Inafahamika uwezo wa kijeshi hana lakini ana mbwembwe nyingi na kamdomo kwa wingi.
Je, si wakati muafaka kumpa kipigo cha mbwa koko ili afunge mdomo wake?
Sasa hivi anawashambulia na kuwaua walinzi wa amani, je anastahili kuendelea kuwa Rais wa nchi ambayo ni mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki?
View attachment 3223435
View attachment 3223446
Ila zinatofautiana huo umasikini, we unafikiri kwanini nchi jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo etc wengi wapo Tanzania wa natafuta maisha? Tanzania tuna u afadhali sana huu ukanda wetu,Kama kigezo ni umaskini hakuna nchi Haina masikini.
Je, ni kitu gani kinampa ujasiri wa kuwadharau Marais wa nchi zingine?
Inafahamika uwezo wa kijeshi hana lakini ana mbwembwe nyingi na kamdomo kwa wingi.
Je, si wakati muafaka kumpa kipigo cha mbwa koko ili afunge mdomo wake?
Sasa hivi anawashambulia na kuwaua walinzi wa amani, je anastahili kuendelea kuwa Rais wa nchi ambayo ni mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki?
View attachment 3223435
View attachment 3223446
Hakuna walicho tofauti wala hatuwezi kuwa proud kuwapita Rwanda ni kichaa pekee atawaona CCM wana afadhali kwa kuwapita kinchi kama Rwanda au Burundi.CCM wana matatizo yao ila hawajafikia level ya Kagame, mfano Kigali hapo wapo tu 1.7M na dar ni kama mara 5 ya Kigali population ila Kigali ina slums nyingi zaidi kuliko dar, vinyumba vya udongo kibao, kifupi Rwanda Utajiri wao wanao watu wachache na Nchi nzima wapo kwenye Umasikini mkubwa.
Sisi tumewapita Rwanda Pato la mtu mmoja mmoja japo tupo wengi zaidi na hatumuibii mtu Rasilimali zake, kama ni ufisadi ni hela za humu humu ndani.
Afadhali gani ? Wewe bwana sijui hata unajaribu kutetea niniIla zinatofautiana huo umasikini, we unafikiri kwanini nchi jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo etc wengi wapo Tanzania wa natafuta maisha? Tanzania tuna u afadhali sana huu ukanda wetu,
Banyamulenge walishajitenga na M23 siku nyingi tu, so ni jeshi la Rwanda, mpaka umoja wa Mataifa umethibitisha ni jeshi la RwandaMi naona kama Kagame yupo sahihi. Kwanini wamuhusishe na ugonvi wa nchi ya Congo. Amesema na ni kweli wale M23 sio Wanyarwanda. Wale ni Watutsi na Wahutu wa huko Congo. Uwepo wa jeshi la Rwanda maeneo ya mipakani ni kwa ajili ya ULINZI.
DRC iimarishe ulinzi wa nchi yake ktk mashariki ya Congo. Inaonekana mashariki ya Congo hakuna serikali ni vikundi vya wababe tu ambao ni vibaraka wa mataifa mbalimbali.
Tuoneshe hayo maendeleo usihadaike na media, Rwanda ni masikini wa kutupwa.Kagame ni mzalendo wa kweli Rwanda ina maendeleo makubwa kuliko nchi zenu zenye Resources mbalimbali hadi zinamwagika ila hospital zenu hazina paracetamol, sahivi mnajipeleka Congo kupigana na M23 mnachapwa lawama mnampa Kagame
Alitukanwaje ? Maana wabongo mkiambiwa ukweli huwa mnasema mnatukanwa, unakuta mtu ni mpumbavu kweli ukimwambia we ni mpumbavu anasema umemtukanaMwenyewe anathibitisha kutukanwa!View attachment 3223450
Kwa taarifa yako nimepigana vita vya Idd Amin nikiwa Operation Kagera kwa hiyo nina uzoefu wa kutosha! Wewe kunguru mwoga utachukuliwa hadi mke!
Utakuwa Mwehu wewe upeo wa mtu haupimwi na wapumbavu!Hii umemezeshwa kitabu gani cha historia, unavyoandika tu, inaonyesha upeo wako ulivyo mdogo
Kwani tusi ni nini?Alitukanwaje ? Maana wabongo mkiambiwa ukweli huwa mnasema mnatukanwa, unakuta mtu ni mpumbavu kweli ukimwambia we ni mpumbavu anasema umemtukana
Tusi ni tusi na ukweli ni ukweli we kama ni mpumbavu nikikwambia we ni mpumbavu hilo siyo tusi ni wake-up call unatakiwa ujitathminiKwani tusi ni nini?
Huwa sipendi kuongea maneno ya mipasho, natetea sisi tuna afadhali sababuAfadhali gani ? Wewe bwana sijui hata unajaribu kutetea nini
Kwa hiyo hao Kagame anaowaita "idiots" kama siyo idiots ni tusi! Kikwete pia aliambiwa "idiot", je ni tusi au la?Tusi ni tusi na ukweli ni ukweli we kama ni mpumbavu nikikwambia we ni mpumbavu hilo siyo tusi ni wake-up call unatakiwa ujitathmini
Hujatoa ushahidi umeandika maneno matupu. Ushahidi ulipaswa kumuwekea na data kutoka credible source ili kuipa uzito ulichoandika.Huwa sipendi kuongea maneno ya mipasho, natetea sisi tuna afadhali sababu
1. Tuna gdp per capita kubwa kuliko Rwanda, hivyo pato la mtu mmoja mmoja Mtanzania ni kubwa
2. Gini coefficient yetu ni ndogo income inequality baina ya waliyo nacho na ambao hawana ni ndogo, wakati income inequality Rwanda ni kubwa
3. Literacy rate kwa Tanzania ni zaidi ya ya asilimia 85 wakati Rwanda inacheza 70-75
Sasa nchi kubwa kama Tanzania ambayo ni ngumu kupeleka Shule kila sehemu watu wake wamesoma zaidi kuliko ka Nchi kadogo ambacho ni rahisi kujenga miundombinu na kusomesha watu wake we huoni walivyo ovyo?
Inshort wengi humu mpo brainwashed na Media mkiona sijui Rwanda kila shule ina Computer mnajua wapo mbali kumbe ni vishule vichache vya matajiri vinapigwa picha na wengi wana hali mbaya kuliko huku.
Kama mimi nilivyotoa ushahidi na wewe unaweza kuleta data kwanini Sisi ni kama Rwanda ama Wametuzidi?
Hapa umeteleza, Kama wao jirani walivyo huku kutafuta maisha,basi hata watanzania wapo wengi sana hizo nchi kutafuta maisha, Tena sasa hivi Nairobi kumejaa wale ombaomba kutoka hukuIla zinatofautiana huo umasikini, we unafikiri kwanini nchi jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo etc wengi wapo Tanzania wa natafuta maisha? Tanzania tuna u afadhali sana huu ukanda wetu,
Achana na habari za social media propaganda za PK sicho kinacho jadiliwa hapa.Huwa sipendi kuongea maneno ya mipasho, natetea sisi tuna afadhali sababu