Kuna member humu JF alileta uzi kuhusu walivyoingia Congo kuusaka utajili wa hayo madini. So watu wenye roho ngumu zao wako front huko anayepata anapata anayekufa anakufaKwanini TZ tusianzishe kakikosi ketu ka wahuni kawe kanatuletea madini adhimu duniani?
Tumia ubongo vizuri, heading imewekwa juu kuwakilisha data zote za chini ndio maana hata kwenye period(year) umeona hapo kwenye GNI imejazwa mwaka 2018.Hio inahusu Poverty ila GNI sio asilimia, unaweza ukai convert kwenda Asilimia ila yenyewe sio ni no tu index.
Pinga hoja ya mwandishi, ambacho ni chombo cha habari Rwanda. Usianze kunishambulia mimi.Either you're joker au tafsiri ya slums unayoitumia na ya kipeke yako.
Define uzalendo maana
1. Anaongoza Nchi kwa mkono wa Chuma yoyote anaongea Chochote anapotezwa
2. Wananchi wake ni masikini wa kutupwa.
Huo uzalendo kwa Nchi yake ni upi ikiwa Raia hawana furaha ama Mali. Chochote jeshi lake inachopambania ni mdomo wake na si wa wananchi wake.
Mkuu kuna mambo mengine yanahitaji common sense tu, kuna hoja hata kuzisema mbele ya watu unatakiwa ujifikirie kwanza kama watu hawatakuona hazikutoshi.Pinga hoja ya mwandishi, ambacho ni chombo cha habari Rwanda. Usianze kunishambulia mimi.
Bado unaendelea na Ujinga wako wa kuweka screenshot?Article uliyoweka ni ya 2013 haisemi Kigali tu inasema urban residents in rwanda kwa ujumla 70% wanaishi slums
Lakini hata hivyo kwenye articles hizo hizo zinasema Tanzania wanaoishi kwenye slums in urban areas ni 70% Kama ilivyo Rwanda
View attachment 3223696
AI inakosea mfano hapo wameandika Rwanda ina Per capita income Kubwa kushinda Tanzania ni uongo, nimeweka data kibao huko nyuma sitarudia, ila unaweza uka angalia mwenyewe per capita income, gini coefficient, poverty rate etc.
Asante, kama huna data nichunie tu sio lazima ku quote comment zangu, sina muda na mipasho.Mkuu kuna mambo mengine yanahitaji common sense tu, kuna hoja hata kuzisema mbele ya watu unatakiwa ujifikirie kwanza kama watu hawatakuona hazikutoshi.
Definishon yako ni sawa na ya mu presida Trump.Define uzalendo maana
1. Anaongoza Nchi kwa mkono wa Chuma yoyote anaongea Chochote anapotezwa
2. Wananchi wake ni masikini wa kutupwa.
Huo uzalendo kwa Nchi yake ni upi ikiwa Raia hawana furaha ama Mali. Chochote jeshi lake inachopambania ni mdomo wake na si wa wananchi wake.
AI imekosea hapo, usiamini AI 100% data Zote za World bank, imf, Cia etc Tanzania ipo juu kote nominal na PPPPato la mtu mmoja mmoja wametupita mbali.View attachment 3223701
Link si ndio zinakushinda kusoma?Bado unaendelea na Ujinga wako wa kuweka screenshot?
Kina kushinda nini kuweka link? Tusome artcile yote na sio unachotaka wewe?
Mbona anaeleweka.Umemuelewa lakini?
Watanzania walivyojaa Mozambique, Malawi, Zambia, Uganda, Kenya, Botswana, Namibia na South Africa ni balaa na ukitoa labda wa Zambia na Malawi ambao wengi ni wafanyabiashara kwingineko majority ni machafuchafu wanaoaibisha Utanzania, do you know the reason? Ugumu wa maisha. Nchi zote hizo mtu akisema ni Mtanzania cha kwanza wanamuhisi ni mwizi mpaka atakapo-prove otherwise lakini wakisikia Mkenya hata kama ni mwizi watamfurahia kwa bashasha hoping he/she is a professional in a certain field.Ila zinatofautiana huo umasikini, we unafikiri kwanini nchi jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo etc wengi wapo Tanzania wa natafuta maisha? Tanzania tuna u afadhali sana huu ukanda wetu,
2008, article ya 2013 ila data za 2008.Link si ndio zinakushinda kusoma?
Hiyo article ni ya 2013
Soma
Proportion of urban dwellers living in slum conditions in Tanzania | GRID-Arendal
The population living in unplanned peri-urban settlements has been decreasing as a proportion of total urban population, while the urban population has also been increasing. Therefore the numbers have been increasing while the proportion has gone down. Both impact on the extent of slum areas...www.grida.no
Ukitoa South Africa na nchi za Kusini Tajiri kama Botswana hakuna Nchi jirani yetu ambayo ina Watanzania wengi kuliko Raia wa hio Nchi waliopo Tanzania.Watanzania walivyojaa Mozambique, Malawi, Zambia, Uganda, Kenya, Botswana, Namibia na South Africa ni balaa na ukitoa labda wa Zambia na Malawi ambao wengi ni wafanyabiashara kwingineko majority ni machafuchafu wanaoaibisha Utanzania, do you know the reason? Ugumu wa maisha. Nchi zote hizo mtu akisema ni Mtanzania cha kwanza wanamuhisi ni mwizi mpaka atakapo-prove otherwise lakini wakisikia Mkenya hata kama ni mwizi watamfurahia kwa bashasha hoping he/she is a professional in a certain field.
Kama umewahi kusafiri around Africa definitely you know this.
Wewe data za Rwanda ulizoweka ni za mwaka gani?2008, article ya 2013 ila data za 2008.
Hizo data unazozikataa za AI ndizo hizo hizo data unataka tuamini haziko sawa. Iwe ni AI au World Bank etc, data zake ziko biased.AI imekosea hapo, usiamini AI 100% data Zote za World bank, imf, Cia etc Tanzania ipo juu kote nominal na PPP
Data za World bank hizo hapo
Anaandikaga vitu hovyo akiamini Hakuna wajuaji. Kaweka data za Rwanda kuhusu slums za 2013 wakati world bank wana data ambazo ni recently Ila kwa kuwa zipo vizuri kaziacha, kwingine anatia za world bank. Huyu mshikaji hayupo sawasawaHizo data unazozikataa za AI ndizo hizo hizo data unataka tuamini haziko sawa. Iwe ni AI au World Bank etc, data zake ziko biased.
Na ukiwauliza kwanini data zenu ziko biased kiasi hiki, wanakwambia kwa sababu hakuna data za uhakika Afrika. Unabaki unashangaa tyu
Hiyo inatueleza
In short hata hizo data za World Bank sio sahihi. Na itoshe kusema, sio data za kutumiwa mitaani mwetu. Utaharibikiwa na kuvurugwa kabisa.
- Wanapika hizo data, na kwa msingi huo
- Data zao sio za Uhakika
Hata kama hii lugha ya kwa malkia siijuwi, ila nahisi ina ukweli"If you are a leader and an idiot is a disaster."
Naamini yupo sawasawa mukichwa na anajua analolifanya.Anaandikaga vitu hovyo akiamini Hakuna wajuaji. Kaweka data za Rwanda kuhusu slums za 2013 wakati world bank wana data ambazo ni recently Ila kwa kuwa zipo vizuri kaziacha, kwingine anatia za world bank. Huyu mshikaji hayupo sawasawa