Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Binti yangu nitamsimamia na kufikia ndoto zake Mungu akiendelea kunipa pumzi, huwa ananiambia nataka kuwa doctor, nataka kuwa pilot [emoji40] bado sijajua amelalia wapi zaidi ila masoma anayofanya vizuri sana shuleni ni sayansi bado yupo kwenye mitazamo sahihi, namuaminia ipo siku atafikia malengo yake,

Discipline na kumtanguliza Mungu ndiyo iwe nguzo kwake nimemsihi, story ya Anna hii imenitia hamasa nitazidi kumsukuma binti yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta bwana wake muhun tu awamu hii wanawake wanadai wavuta ganja ndio wanamapenz ya kwel nimeanza kuweka ukarb na pusha mmoja hivi
 
"Discipline na kumtanguliza Mungu ndiyo iwe nguzo kwake nimemsihi,"

Hakika Mkuu...hakuna linaloshindikana
 
Hakika Boss...ila kilichotrend zaidi ni kupewa dhamana ya kuirusha hiyo ndege ikiwa na mwili wa hayati Raisi Magufuli akiwa na mwenzake...kwa sabbu ilienda Dom..Zanzibar..Mwanza + kutimiza ndoto alizokuwa nazo tangu akiwa mtoto
Ni kweli ametimiza ndoto yake nakumbuka miaka ya nyuma akiwa bado sekondari baba yao aliwaita mbele wakati wa semina viwanja vya relini, moja ya kitu alichosema ni hicho cha ndoto yake ya kuwa rubani. Hongera kwa Mwl. Mwakasege na familia yake
 
Wabongo jamani kwa uongo

Anna hajawahi fanya kazi SAA na kurusha au kuendesha ndege kubwa kama Boeing 747, Boeing 777 na Airbus A340. Anna hajawahi fanya ratings ya B747 au B777 au Airbus 340.. Jet yake ya kwanza kurusha ndio hiyo Airbus A220-300 ya Air Tanzania.. South Africa alienda kusomea CPL tu na kurudi Tanzania. Msiandike vitu hamvijui vizuri. Na kumrusha kiongozi ni jambo la kawaida sana, sio kwamba yeye Anna ndio kaaminiwa kuliko marubani wengine, isitoshe hapo yeye ni First Officer tu, Capt ndio anaruka kwenye shughuli kama hiyo, hapo yeye anabaki kwenye radio.. Sijui mnaelewa? Labda sbb ya gender ndio mnampa publicity, but she is not special in any case ni sawa na marubani wengine wanaoruka hiyo A220-300

Mkiandika mjue vema unaandika nini, yaani unaandika uongo eti ana rusha B747, B777 & A340, hana hizo ratings, na SAA hajawahi fanya kazi hata kidogo, na flight school alifanyia South Africa na kupata CPL tu na hadi leo ana Commercial Licence.. So msindike hovyo vitu kama hujui vema
 
Reference Mkuu
 
Angekuwa mzaramo wala tusingemjua...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ughonile vana va kyala... Sijui kama nimepatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…