Hakika mkuu ...anahitaji pongeziKwa kweli anaishi katika ndoto zake, kutimiza ndoto malengo ni jambo la kumsifu Mungu sio kazi rahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuu ...anahitaji pongeziKwa kweli anaishi katika ndoto zake, kutimiza ndoto malengo ni jambo la kumsifu Mungu sio kazi rahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa inakuwaje mkuu..tusaidianeUmeona!?[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Ila Kama bado ,Rubani' ..ajiandae kuoa !!
"Discipline na kumtanguliza Mungu ndiyo iwe nguzo kwake nimemsihi,"Binti yangu nitamsimamia na kufikia ndoto zake Mungu akiendelea kunipa pumzi, huwa ananiambia nataka kuwa doctor, nataka kuwa pilot [emoji40] bado sijajua amelalia wapi zaidi ila masoma anayofanya vizuri sana shuleni ni sayansi bado yupo kwenye mitazamo sahihi, namuaminia ipo siku atafikia malengo yake,
Discipline na kumtanguliza Mungu ndiyo iwe nguzo kwake nimemsihi, story ya Anna hii imenitia hamasa nitazidi kumsukuma binti yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha hii ni hatari zaidi ya hatariUtakuta bwana wake muhun tu awamu hii wanawake wanadai wavuta ganja ndio wanamapenz ya kwel nimeanza kuweka ukarb na pusha mmoja hivi
Sina uelewa juu ya hilo,Hilda Ringo tangu aachane na Fast Jet hajarudi tena kwenye kazi yake?
KaolewaWadau humu watakupa majibu
Ni kweli ametimiza ndoto yake nakumbuka miaka ya nyuma akiwa bado sekondari baba yao aliwaita mbele wakati wa semina viwanja vya relini, moja ya kitu alichosema ni hicho cha ndoto yake ya kuwa rubani. Hongera kwa Mwl. Mwakasege na familia yakeHakika Boss...ila kilichotrend zaidi ni kupewa dhamana ya kuirusha hiyo ndege ikiwa na mwili wa hayati Raisi Magufuli akiwa na mwenzake...kwa sabbu ilienda Dom..Zanzibar..Mwanza + kutimiza ndoto alizokuwa nazo tangu akiwa mtoto
Wazazi wake hawakumuombea awe Rubani?Safi sana kajitahidi na yy kabebeka vizuri..rafiki yangu mmoja akiona hii kitu ya mambo ya urubani huwa anaumia sana hakufanikiwa kwa sababu ya pesa..
Na mwenye uwezo kiuchumi. Imagine kusoma na kufuzu urubani gharama yake si chini ya Tsh. 200,000,000.Ndio faida ya kuwa na baba msomi...
Mwakasege alipitia wakati mgumu sana kipindi anamsomesha haikua rahisHuo ndio uzuri wa kuzaliwa kwenye pesa. OVAAAAA!!!
Mkiwa maskini, hata wazazi waombe vipi, ni kama maombi yao hayafiki vile
Huo ndio uzuri wa wwzazi kuombea ndoto za watoto.
Wengi hatujatimiza ndoto zetu sababu shetani na majeshi yake wamezinyakuwa, hatukuwa na wa kutuombea
Wangapi wamezaliwa kwenye pesa wakaishia kuwa mashoga wanahonga wanaume wawabandue?
Wangapi wamezaliwa kwenye pesa wakaishia kuwa mateja?
NB:-
Sio kila Mchungaji ni mwombaji, ndio maana wachungaji wengine shetani anawapiga kikamilifu
Hahahah..pole MkuuHakika .......wazaz wanapaswa kusimamia watoto wao
Mzee wangu alikuwa ananiita KICHWA KIBOVU ......ingawa nlikua fresh school
Daddy unataka kusema waliofanikiwa wote wazazi wao walikuwa wasomi??Ndio faida ya kuwa na baba msomi...
Reference MkuuWabongo jamani kwa uongo
Anna hajawahi fanya kazi SAA na kupata uzoefu wa kuendesha ndege kubwa kama Boeing 747, Boeing 777 na Airbus A340. Anna hajawahi fanya rating ya B747 au B777 au Airbus 340.. Jet yake ya kwanza kurusha ndio hiyo Airbus A220-300 ya Air Tanzania.. South Africa alienda kusomea CPL pekee na kurudi Tanzania. Msiandike vitu hamvijui vizuri.