Huyu ndiye Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya anayewasumbua vichwa wanaume wengi

Huyu ndiye Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya anayewasumbua vichwa wanaume wengi

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Unaambiwa wanaume wa Kenya wanapigana vikumbo kusaka penzi la Charlene Ruto binti wa Rais Ruto. Ama kweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu

6FA0B8A0-C33A-45CC-8802-AC9E0B7D9C4C.jpeg
 
Waandishi habari wa tv kenya sijui wanawapataga wapi ni moto tofauti kabisa na wengine 😃
Achana na waandishi wa habari, njoo kwenye uchoraji wa vibonzo jamaa wako mbali sana😂😂😂.
Jamaa kwenye kuchora vibonzo vya wanasiasa hawajambo. Kuna jamaa anaitwa Gado kwenye kuchora vibonzo kwa Africa ni namba Moja. Kuna wakati aliwaikumbana na jaribio la kufukuzwa Kenya ilhali ni mkenya.
 
Back
Top Bottom