Huyu ndiye Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya anayewasumbua vichwa wanaume wengi

Waandishi habari wa tv kenya sijui wanawapataga wapi ni moto tofauti kabisa na wengine ๐Ÿ˜ƒ
Achana na waandishi wa habari, njoo kwenye uchoraji wa vibonzo jamaa wako mbali sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Jamaa kwenye kuchora vibonzo vya wanasiasa hawajambo. Kuna jamaa anaitwa Gado kwenye kuchora vibonzo kwa Africa ni namba Moja. Kuna wakati aliwaikumbana na jaribio la kufukuzwa Kenya ilhali ni mkenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ