Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Status
Not open for further replies.
Huu ni kama mwandiko wa Deception kabisa.
 
Acheni uongo wenu *****,juzi nimemzika Dada yangu kwa ukimwi na sababu hakutumia ARV hata siku moja. Kapima zaidi ya Mara 10 anaonekana ana HIV halafu mbweha mmeshiba chakula cha Dada zenu mnakuja kuongea rubbish. Ukimwi upo na unaua.

Swali langu kwenu
Je watu wawili wakipima kipimo cha hiv mmoja akawa nao na mmoja akawa hana. Je nini kinachowatofautisha hapo.
 
daaaah..ain't seriuz men......!!! unajua unachokiongea lakini...?? watu wamefanya clinical trial in relavant to HIV RNA replication into host DNA na kugundua a bilion number of RNA copies was made halafu wew unasema RNA hayupo...!!? hivi mbona unaleta vitu ambavyo havipo duniani we jamaaa....?? do you know how we classify virus...?? unajua HIV virus yupo kundi gani mpka useme watu walijitungia...!! afu usiwe unalazimisha kuandika vitu ili uonekane una points....hey man ...you not seriuz aise...watu wa molecular biology watakucheka unakanusha et HIV sio Retro....daaah....ha ha ha nacheka ujue huku kwa sauti....afu nimegundua interest yako...you still learning men
 
ww jamaaa upo dunia gani wew...?? hakuna chanjo ya HIV men?? are you seriuz...?? ipo but ni gharama sana na hawataki kuiexpose tu kwa sababu ya economic facts ambazo kampuni za kutengeneza ARVs zimeingia ubia na WHO but immunophilin vaccine against HIV virus is ready but few guys are vaccinated under special configuration..sio kila kitu public...hakafu mbona unajicontradict mwenyew..mara unasema HIV yupo then unaruka unakuja kusema yupo ila chanjo yake haipp...you not seriuz men........hebu kasome tena ndo urudi huku acha kupotosha watu...HIV ni man made weapon i believe na watu wamefanya molecular study kuverify hilo halafu we unakurupuka na article zako fro. wikipedia.....you not seriuz actually
 
Hicho unachokijua wewe ndicho ambacho watu wengi tunakijua...! Tulichofundishwa kwenye mitaala yetu ya elimu...! Elimu anayotoa huyo jamaa iko against na hiyo uliyofundishwa kwa mantiki hiyo kama umeshindwa kuruhusu akili yako kumuelewa basi tufanye wewe ndio mshindi....! Maana naona kama unataka ushindni sio kuelewa
 
Kumbuka ARV zimekuja majuzi tu, zaman hapo tulipoteza watu weng na walikufa kwa mateso meng ikiwa ni pamoja na kukonda sana

Tuambie nn kilikuwa kinawaua haraka vile
hili swali ni zuri sana...wajuvi waje kutujibu
 
Retro_virus anasaidia nini mwilini boss? Nahitaji kumuelewa vizuri huyu virus
 
.Sikusema hakuna ukimwi,bali nilisema hakuna ukimwi unaosababishwa na HIV.Nadhani sasa utakuwa umepata point yangu.
Sasa mimi vita yangu ipo kwenye kuwasingizia watu kwamba wana HIV na kuwapa ARVs zenye sumu ili kuwalinda na HIV ambaye hayupo kiuhalisia hivyo hana madhara ilihali ARVs ndizo zinakuja kusababisha matatizo yote tunayoyaona kwa wale wanaozitumia.
Pia hata kama mtu amedhoofika halafu hatumii ARVs,lazima ukimfanyia udadisi kwa kina utagundua kwamba kuna sababu specific na za msingi ambazo zimemsababishia matatizo aliyonayo,na uki deal na hizo sababu za msingi na matatizo yake yatakwisha mara moja.

Hayo ninayoeleza hapo juu watu wanaya bypass sana na kufanya mjadala unakuwa mrefu sana.Niko very consistent na yale ninayoyaeleza na ndio maana hamna mtu yeyote hata kama ni daktari mwenye uwezo wa kupinga kwa hoja zenye mashiko.Nina vithibitisho vya maandishi na vya kuonekana na vile vya kufanya mwenyewe kwa mkono wangu.
 
nikwambie kitu...tuliza akili yako ujue mengi ...kuna mambo mengi ambayo huyajui na usiww unakimbilia kupinga facts za watu na ukajikuta unaamini juu ya ulichokijua na kukifahamu bila kuhusisha real actual analysis kutoka deep sites....hiyo chanjo unayokanusha kuwa haipo nakuonea huruma snaa ..mimi nipo na watu kutoka sehemu mbali mbali wamepigwa chanjo hiyo katika 3 phases wa wapo free from post exposure ya HIV infection na clinical trial nyingi zimefanyika zikupruvu hiyo chanjo against the genomic effects of the HIV virus...kwa hiyo mimi sikushangai kwa sababu unakosa deep information...yani watu waliopigwa chanjo ya HIV ni very selective sana na wenye pesa zao....mtu masikini huwezi pata hiyo favour...mfano ni Lily wayne ambaye alipata HIV na kugundukika mwaka 2006 lakini alipata tiba juu yake japo its more secret but he was a HIV positive man...lakini pia ARVs zipo kàtika magrup kulingana na pesa zako..kuna ARVs za kunywa daily ,kuna za kunywa kila baada ya mwezi na kuna zingine ni za kunywa mara moja kwa miaka 3 and so on,sasa ww umebase na hizo wanazorundikiwa waafrica ....!! very sory kwa sababu hata makundi ya ARVs huyajui....ningekuona wa maana sana kama maada hii ungeigeuza ili ujue mengi but umebase yani as if unajua more deeply kuhusu siri za CDC ....labda kwa msaaada zaidi naomba ukasome ARVs aina ya fusion inhibitors uone kama zipo huku africa na hzio dawa ndo wanakunywa watu wenye pesa ndefu balaaa...unakunywa dozi mara moja mpka bada ya miaka 2 au zaidi unakunywa na zenyewe zipo katka subgrups kulingana na pesa uliyonayo...kwa hiyo hizo za bure tunazokunywa huku bongo( Africa) ndo hizo zenye side effects kibao including Thrombocytopeni,anamia,alopecia,skin rashes and so fourth ..ni kwa sababu ni low graded drugs against HIV virus....kwa hiyokuna siri nzito juu ya ugonjwa huo..nchi kama marekani zimeficha code ya kutengenezea HIV vaccines ambayo nchi za china,Rusia zinaitafuta hiyo code kwa hali na mali lakini Marekani kamua kuficha chemistry ya utengenezaji wa Immunophilin vaccines against HIV na amejikita kupiga pesa na kuendeleza uchumi wa nchi kupitia drugs ...akisema leo hii alirelease immunophilin vaccine hiyo uchumi wake utacollapse fasta snaa make kawekeza zaidi kwenye drugs pamoja na weapons kuraise uchumi
 
Wait; wapi katika uzi huu pamesemwa Ukimwi haupo? Mbona unakurupuka?
 
Nimeishi baadhi ya nchi za Asia, kama Korea, Japan na Uchina, haya masuala ya ukimwi sijawahi yasikia kabisaaaa huko. Iko vip hii
 
wewe jamaa..mimi bado niko na wew mpaka upate kuelewa vizuri...umesoma pharmacology vizuri on how the drugs work...? on how the drugs get metabolised kwenye mwili...?? umesoma vizuri pharmacology on how do drugs interact with other drugs...?? kama kama umelijua hilo kwann unaquestion juu ya side effects za dawa...?? kila dawa ina side effects zake dependinng with its dissociation strength kwenye plasma PH na the more the drugs is cheaper the more the its side effects kwa sababu ya kuwa na selective receptor molecules...dawa ikiwa na potency kubwa ndipo side effects zake zitavaly....the cheaper drugs zinakuwa ni multireceptor ndo mana zinaharibu sehemu nyingine kwenye mwili lakini kuna drugs zinakuwa na specific receptor hence zinaleta effects sehemu husika bila kuingilia sehemu zingine
.

...ndo mana nimekuliza unajua how drugs work...?? usiingilie fani za watu ohooo...watu wamekaaa kimya siyo kuwa wanaappreciate unachoandika but they are loughing aside due to yo stuffs you are writting....
 
Naona unakwepa hoja na kujibu visivyohojiwa, madawa yana madhara, lakini kutumia dawa za chemotherapy kupunguza makali ya virusi hewa ni uwendawazimu.
 
Mimi nakubali ukimwi ni uzushi tu, ila ukishazugwa unao unaanza kufa nusu mwenyewe, kisha unastawishwa kwa muda kwa kugeuzwa teja wa ARV business inaendelea!

Inaonyesha unaogopa sana UKIMWI na dalili kuu ni uoga wa kupima ukiona hautaki kabisa kupima basi tambua unaelekea kwenye kuupata maana nafsi yako inakua 50/50.
Pole sana swahiba ila usiombe UKIMWI ufike mlangoni kwako hapo ndipo akili itakukaa sawa mimi nimeishi na wabishi wapo ambao wamefutika kwenye uso wa dunia kwa ubishi tu nashukuru wapo waliokubali hali sasa ivi huwezi wajua,tunachowazidi sehemu nyingine nje ya Africa ni rate tu ya maambukizi ila nao wanapata UKIMWI sijasimuliwa nimeona ila wenzetu wana huduma bora za afya.
 
Umeshawahi kujiuliza ni kwanini hadi leo hakuna kipimo cha kupima uwepo wa 'VIRUSI VYA UKIMWI'? Badala yake tunapima uwepo wa 'ANTI-BODIES' ambazo mtu huzalisha mwilini hata akiwa anaumwa T.B au Malaria?
Kwanza nikiri sijawahi Fahamu kitu kama hiki. Lakini ili kuthibitisha.

Kwanza ni vyema tukianza na kuangalia kama magonjwa mengine ya Virusi yanavyo hivyo Vipimo. Kama magonjwa mengine ya Virusi hayana Vipimo. Jibu halitakua Tatizo la HIV peke yake. Linaweza kua linahusika na maumbile ya Virusi wenyewe. Na teknolojia.

Kwasababu;- Miongoni mwa sifa za virusi ni kua Kinakua kimekufa nje ya organism na kinakua hai kikiwa ndani ya Organism. Pia virusi ni vidogo sana kuliko Ukubwa wa Bacteria mmoja.

Lakini kwa ujumla umenipa mwanga ni kwanini wako watu ambao waliwahi kupimwa wakaambiwa wana Virusi na baadaye kuja kuathirika na ARV na kugundua hawakua na HIV miilini mwao.

Lakini, najua Dunia ya kisayansi haina Siri ya pamoja.(Collective secret). AIDS ipo na ndio maana madaktari wote duniani wanakubaliana na hii dhana.
Kuhusu madaktari wenye mrengo wa kutilia shaka kuhusu Uwepo wa AiDs. Kwanza siwalaumu lakini najua idadi yao ama wingi wao sio cinvinving katika hili.. Na Kwakua najua nyuma ya utengenezaji hizi dawa ni kulenga kujinufaisha binafsi. Inaweza kua ndio sababu ya wao kuibuka na mashaka yote haya.
Ila kwa ujumla Ngoma ni real.

Lakini jambo moja najua Magonjwa yote ya Virusi mbali na HIV hayajawahi kua na Dawa. Including Mafua, Newcastle etc
Ila yamewahi kua na Chanjo. Ambapo Hata chanjo ya Ngoma imeshazinduliwa tayari.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…