Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Status
Not open for further replies.


Likes a bunch. Spread the knowledge.

-Kaveli-
 
Ok naendelea kukuelewa..
Ila hujanijibu kuwa kama ukimwi haupo, je nn kinapelekea mtu kufa na njia gani inaambukiza
Ngoja nimsaidie: Mambo makuu mawili yanayopelekea mtu kuumwa mpaka kufa ni;

1. Stress: Hii inajumuisha tatizo la kisaikolojia lililosababishwa na kuaminishwa kuwa Ukimwi unaua na ukiwa na ukimwi utaumwa magonjwa meng bila kupona, hii hupelekea mtu kuyapata hayo magonjwa kweli na kufariki

2. Madawa makali ya ARV: Dawa hizi huwa ni kali sana na huwa na sumu ambazo baada ya muda huubadilikia mwili na kuufanya kudhoofu ghafla na kupelekea kifo

Maelezo ni mengi sana ila nimejitahidi kufupisha.
 
Kabla ya hizo ARVs unakumbuka ukimwi ulimaliza watu wangapi kagera wakati unaingia??Na kama haukua ukimwi ulikua ni ugonjwa gani?
 
Ni huu utaratibu wa kwenda hospitali unajisikia maralia au tumbo linauma wanakwambia tunakupima na ngoma sijui wameutoa wapi,wanadhan kupima ngoma ni kama unapima joto la mwili,nilishaenda pale palestina kadoctor ka kike kakaniletea hizo mambo nikakaangalia nikasema nakuja kuja kushtuka nilitokezea mtaani kwangu
 
Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe japo mimi najihusisha na sekta ya afya ipo hivi mwaka 2011 nilienda na kaka yangu temeke alikua na hali mbaya sana kupima aligundulika na TB na HIV hatukuamink tukapima hospital kadhaa majibu yakwa vilevile.sasa wakasema wataanza kutibu TB then ndo waje HIV kuzuia asilete madhara zaidi.
Kweli alitumia dawa za TB baada ya mda fulani akaanza kuwa sawa mpaka kupona..baada ya kupona akatakiwa kupewa ARVs bro alikataa kata kata na hakawa hatumii,,Mwaka 2013 mkewe akapata ujauzito na akajifungua mtoto nilifatilia kadi yake ya clinic alikua salama na mtoto hadi leo yuko salama na yeye mwenyewe ana afya na mkewe pia na hadi leo nikimuuliza anakwambia yeye ana amini ukimwi ni stori na atakufa kwa kingine sio ukimwi.Baba yangu mara kadhaa alikua ana mwita kumlazimisha mwisho wa siku ameona na yeye stori tu.

2014 Shangazi yangu na yeye alipata TB na kuambiwa ana HIV sasa wakati yupo hospital kuna dada mmoja akamwambia kama ataambiwa ana HIV asitumie zile dawa maana hata yeye aliaambiwa hivyo na hakutumia dawa na yuko fresh.akarudi home akasema na Mzee akamwambia afuatishe mfano wa kaka,mpaka leo yupo mzima wa afya na hatumii.

2005 Baba yangu mdogo aligundulika na HIV yeye na wake zake wawili.wakaanza kutumia dawa ilipofika 2006 aliaanza kuugua kuaharisha nk 23 august 2006 akafariki.
Mwaka unaofuata akafuatia mwanawe wa mwisho.
2008 mkewe mkubwa na yeye akaanza kuugua hatimaye akafariki.lakini mke mdogo yupo mpaka leo na anatumia dawa na mzima wa afya.

Nb:nimetoa ushuhuda wangu ili kuangalia huu ugonjwa unavyochanganya lakini kila mmoja kwa nafasi yake inapaswa asipuuze aweke 50/50 kisha afanye uchunguzi ajiridhishe japo kwa upande wangu naamini ukimwi upo ila kuhusu HIV bado kuna mkanganyiko kwangu..maana wanasema kuna mtu mwingime ana kaa hadi miaka 10 ndo anauaguani kitu ambacho hakiingii akilini maana tunaambiwa HIV anaua kinga za mwili na ni hatari sana,sasa kipindi chote hicho mtu awe salama wakati Malaria tu ndani ya wiki unapata habari
 
Very true! But HIV/AIDS weakens your body immune and leave it free for even fungus to kill you!
It's true watu tumeshindwa tu kujua maana ya UKIMWI ndio maana tunausingizia kuwa unaua mi nadhani maana halisi ya neno UKIMWI upo katika kirefu chake 'UKOSEFU/UPUNGUFU WA KINGA MWILINI' ukifikiria hii maana utagundua kuwa UKIMWI hauui mtu
 
Nimecheka hapo Peter duesberg anaijuwa virology kuliko luc montagnier.
Hivi kati ya Peter duesberg na luc montagnier ni nani kabobea katika virology????.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…