Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,595
- 3,670
anaitwa nani?Kuna Dr mmoja fb anaongeaga haya watu wanamchukuliaga chizi....
ukishakosa maarifa lazima usiyaelewe haya mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaitwa nani?Kuna Dr mmoja fb anaongeaga haya watu wanamchukuliaga chizi....
"Sasa jiandae vyema na umsikilize kwa makini kabisa neno baada ya neno(usiruke neno) huyu mgunduzi wa HIV anachosema hapa.Narudia,huyu anayesema hapa ndiye mgunduzi wa HIV.Yaani ni 'mungu' wa wale wanaoamini katika dini ya VVU/Ukimwi.Natarajia kwamba hakuna mtu yeyote duniani atakayepinga maneno yake;msikilize hapa chini;
"You can be exposed to HIV many times without being chronically infected,our immune system will get rid of the virus within few weeks if you have good immune system" Na hata ukimfuatilia Prof.Duesberg(virology machine) anayepinga kuhusu HIV naye alishasema hivihivi.Huyu mungu wao anathibitisha tu maneno ya Duesberg ambayo mwanzo aliyakataa,sasa hivi anaona aibu.
Halafu endelea kumsikiliza anazungumzia matatizo halisi yanayotusumbua hasa katika nchi za afrika.
1.Nutrition/misosi
2.Oxidative stress;Hii nitaizungumzia kwa undani baadaye
3.Clean water
Halafu anasema "their immune system doesn't work well already even if they are not infected with HIV",maana yake ni kwamba, watu wanakuwa na ukimwi hata kabla ya kuingiwa na VVU.
Anaendelea kushauri njia za kupunguza maambukizi ya HIV huyu feki ambazo ni;
1.Nutrition
2.Proper antioxidants
3.Hygiene measures
4.Fighting the specific infection(tusisingizie HIV,tutibu tatizo halisi)
Anaulizwa:"If you have good immune system then your body can get rid of HIV?"
Anajibu:Yes.
Ooooh very interesting!!! au mimi naota?Hebu sikiliza wewe mwenyewe.
Anaendelea kusema tena kwamba;"This is important knowledge which is completely neglected,people always think of drugs and vaccines"
Na mwisho yeye mwenyewe anakubali kwamba alichokisema ni tofauti na kile alichosema kipindi cha nyuma,yaani vinapingana.Huyu jamaa ameingizwa kwenye kundi la watu wenye roho mbaya bila kupenda,sasa roho yake inamsuta na anaamua kusema ukweli.Huyu ndiye mgunduzi wa HIV feki,Robert Gallo alimuibia tu data na yeye ndiye katangazwa kwanza.Walichokigundua hata wenyewe wanajua kwamba hakisababishi Ukimwi,ni njaa tu ndio inawasumbua.
Haya sikiliza sasa;
"
Pamoja na hayo yote,hakuna virus anayesababisha ukimwi.Watu wanashindwa tu kuunganisha dots za maelezo niliyotoa kwa kuwa labda ni mengi sana na hayako kimpangilio kutokana na mjadala ulivyo.Hata wenyewe waliogundua huyo HIV feki wanajua kwamba HIV hasababishi ukimwi na ndio maana kuna wakati wenyewe kwa wenyewe wanapingana.Nitakuleteeni video nyingine inayoonesha kwamba wanapingana halafu ninyi wenyewe muamue.
Na ndio maana huyu mgunduzi alikubali kusema tu hayo lolote na liwe maana ndio ukweli wenyewe.Wengine wanasema HIV peke yake hawezi kusababisha ukimwi,anahitaji co factors,ilihali wengine wanasema HIV peke yake anaweza kusababisha ukimwi bila co factors,nitawaleteeni hiyo video.Unaona sasa penye ukweli uongo hujitenga?
Watu wanaogopa ukimwi kwa sababu ya kasumba tu,neno hili limewaingia vichwani mwao kwa kurudiwa mara kwa mara huku wakioneshwa video za kutisha za wagonjwa bila kujali uhalisia kwamba mgonjwa alikuwa anaumwa nini hasa.Watu wanaogopa kitu ambacho kilikuwapo tangu kabla ya kutangazwa kwa HIV,eti kwa sababu wameambiwa HIV anasababisha ukimwi ndio wanaugopa sasa,kumbe ulikuwapo tangu zamani na hautishi na unatibika kirahisi na wakati mwingine unaondoka wenyewe bila ya wewe kujijua,ukibalisha lifestyle tu uko poa.
Sasa Je,
1.Kuna daktari hapa kwetu anaweza kukwambia kama unaweza kuwa na HIV(feki) lakini kinga ya mwili wako inaweza kumdhibiti na kumtoa kama alivyosema huyu mgunduzi?Vinginevyo wapinge kwamba huyu sio mgunduzi.
2.Huyu mgunduzi anakwambia "people always think of drugs and vaccines" anaposema drugs anamaanisha ARVs kwa maana ndizo zinazotumika kwenye AIDS.Na maana yake nyingine ni kwamba,huwezi kuwa na HIV kama kinga yako iko safi.
Sasa kama mnatakata kujithibitishia wenyewe,muulize daktari yoyote bongo kama anaweza kukubali hayo aliyosema mungu wake.Hapo ndipo utakapoona kwamba kasumba ni kitu kibaya sana.
Wenzetu wazungu sio wepesi kupinga kama sisi ngozi nyeusi.Ushauri huu wengi wanaujua toka kitambo,na ndio maana they don't take a shit kwenye ugonjwa huu feki,wanakula raha tu.
Sisi weusi ndio tumefanywa malimbukeni na shimo la kutupia madawa yao yenye sumu.Halafu eti wanatuambia tuyahifadhi vizuri yasije kuharibika.UNAHIFADHI SUMU YA MWILI WAKO?WE VIPI?
Ama kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Eti unatakiwa uhifadhi vizuri sumu ya mwili wako.Sasa kama kuna daktari yupo,aje kupinga maneno ya huyu mungu wao.
Ndio sisi tulivyo,tunakimbia HIV tunakimbilia ARVs ambazo ndizo mziki mnene wenyewe.Hivi vitu watu hawawezi kuvielewa mara moja mpaka kwanza wajue historia ya medicine na viwanda vya madawa ikoje.Hapo ndio watajua kwamba watu hawana masikhara kwenye biashara.
Ngoja nimsaidie: Mambo makuu mawili yanayopelekea mtu kuumwa mpaka kufa ni;Ok naendelea kukuelewa..
Ila hujanijibu kuwa kama ukimwi haupo, je nn kinapelekea mtu kufa na njia gani inaambukiza
T.BKabla ya hizo ARVs unakumbuka ukimwi ulimaliza watu wangapi kagera wakati unaingia??Na kama haukua ukimwi ulikua ni ugonjwa gani?
Haya ngoja nifatilie ninashida nae Sana
unatumia mtandao gani boss
Wacha tusubiri majibuna mm nmejchoma wakuu
Inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?Hivi mkuu Deception yupo wapi?
Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe japo mimi najihusisha na sekta ya afya ipo hivi mwaka 2011 nilienda na kaka yangu temeke alikua na hali mbaya sana kupima aligundulika na TB na HIV hatukuamink tukapima hospital kadhaa majibu yakwa vilevile.sasa wakasema wataanza kutibu TB then ndo waje HIV kuzuia asilete madhara zaidi.HIV/AIDS au VVU/UKIMWI hauambukizwi kwa njia ya ngono/sex na HIV hasababishi ukimwi.Jitahidini kidogo ku stretch uwezo wenu,elimu ipo lakini mnairuka kwa makusudi.
HIV/AIDS is a mindset disease.Sijui kama nitaeleweka kwa kusema hivi.Yaani ugonjwa huu haupo kiuhalisia,kinachoua si HIV bali kinachoua ni ARVs kwa wale wanaozitumia.Hata kama mtu hatumii ARVs na amedhoofika wewe mpime tu utagundua kwamba lazima awe na ugonjwa fulani unaofahamika,aidha TB,Pneumonia,Cancer nk.
Watu wanadhani mimi nimekurupuka kwa siku moja tu na kuja kuandika yote haya,la hasha nimefuatilia na kufanya tafiti ya mambo haya kwa zaidi ya miaka 5.Watu wanachukulia kirahisi sana,hawagundui hata kwa nini mimi ninawaeleza haya,hawagundui hata kidogo upendo huu ninaouonesha kwao.
karibu TTCLMitandao ya simu Mungu anawaona. Tsh 1000 napata MB200 na hii video ina MB146 ntaingalia vipi?
Sawa,utupe mrejeshoNitarudi
It's true watu tumeshindwa tu kujua maana ya UKIMWI ndio maana tunausingizia kuwa unaua mi nadhani maana halisi ya neno UKIMWI upo katika kirefu chake 'UKOSEFU/UPUNGUFU WA KINGA MWILINI' ukifikiria hii maana utagundua kuwa UKIMWI hauui mtuVery true! But HIV/AIDS weakens your body immune and leave it free for even fungus to kill you!
Nimecheka hapo Peter duesberg anaijuwa virology kuliko luc montagnier.Tukienda upande wa pili kwamba 'HIV' hayupo na AIDS haisababishwi na HIV pia na mimi nitakuletea scientific papers nyingi sana,halafu mwisho wa siku tutakuwa tunashindana kutoa scientific papers.Wewe umetoa scientific papers za watu unaowaamini na mimi nitatoa zangu za wale ninaowaamini,mwisho wa siku hata wana JF hawatang'amua chochote.
Hao unaowaamini wewe wameshindwa na wale ninaowaamini mimi kwenye lab experiments(ambazo kwa hapa ni vigumu kuwathibitishia watu maana tutajaza scientific papers tu humu) na real life experince.Yaani kile kinachoonekana kiuhalisia.
Tukienda kwenye body chemistry, hilo mimi sina tatizo na ninyi kwa kuwa hata nikikwambia uniletee electronics photos za hizo cells najua utaniletea kwa kuwa zipo kiuhalisia.Tatizo linakuja kwenye electronics micrographs za purified HIV.Najua hata ufanye vipi huwezi kuniletea hizo na ukileta lazima zitakuwa feki kwa kuwa hata hao unaowaamini walishakubali kwamba wameshindwa ku purify HIV,wewe unajua umuhimu wa purification hivyo sina haja ya kueleza mengi hapa.
Kama wameshindwa ku purify HIV,sasa ile picha ya HIV kwenye vitabu vyenu wameipata wapi?Evidence nzuri hapa ni ile ya matukio tunayoyaona mtaani.Maana hata niki disqualify hizo paper zako bado watu hawataelewa nini kinaendelea.
Robert Gallo na Luc Montaigner hawajawahi ku purify HIV.Hawawezi pia kuthibitisha kwamba HIV anasababisha AIDS.Usifikiri Kary Mullis ameingia uchizi kukataa kwamba HIV hasababishi AIDS wakati kipimo alichogundua cha PCR ndio kinategemewa kwenye haya mambo yenu.
Usifikiri Prof.Peter Duesberg ameingia uchizi kusema kwamba HIV hasababishi AIDS.Robert Gallo na Luc Montaigner wameshindwa kujibu hoja za hawa wachache tu niliowataja hapa,wewe ukiweza kujibu nitakushangaa sana umepata wapi maelezo hayo.Cha msingi ni kujibu hoja za hawa jamaa.Fahamu kwamba na hawa ni madaktari pia tena wenye hadhi ya juu duniani.
Pia fahamu kwamba Peter Duesberg anaijua virology vizuri zaidi ya hao wanaojiita wagunduzi wa HIV kwa maana ndio field yake hasa na ndio maana wanamkimbia hata kwenye open debate,ninyi hamlijui hili na hamuwezi kuambiwa.
Robert Gallo na Luc Montaigner(wagunduzi wa 'HIV') wameshindwa kujibu (kwa usahihi) hoja zifuatazo za Peter Duesberg.Naomba wewe uzijibu kama hutajali.
Nimeongeza neno kwa usahihi kwa kuwa mtu yeyote anaweza kutunga kitu chochote ili watu wamwamini hata kama hakina ukweli wa kisayansi.Hawa kina R.Gallo na L.Montaigner ndio ma father wa kutunga,wanachokisema ukilinganisha na lab experiment viko tofauti kabisa.Sasa jibu hoja hizo hapo chini.