Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Status
Not open for further replies.
Exactly nusura nimpoteze Kaka yangu mwingine tuliletewa hivyo vipimo na Kaka yangu ambaye ni doctor kupima jamaa akaonekana anao, weeee akapagawa akakimbilia angaza akaambiwa hauna yaaani unaweza kufa hivi hivi ukijiona
Kuna mtu alinambia wakikuona una wenge sana wanakwambia huna hata kama unao
 
Hivi dozi moja ya ARV ni shilingi ngapi? Na ni kampuni ipi hapa duniani/nchini waliokula hii tenda?

Mkuu Dozi moja ya mwezi ya ARV ni 300,000 Tzs (hii ni record ya mwaka 2017), kale kakopo kamoja anakopewa mgonjwa. kwa Tz Marekani ndio wana sponsor hizo dawa.
 
Hizo taarifa zote hapo juu ni za uwongo....HIV ni habari nnyingine tusidanganye umma.ARV zimesaidia wengi sana nchi hizi zetu za kiafrica.

Toa fact Mkuu acha porojo, lea maelezo yaliyo jitosheleza sio unaongea Umbea tu, lete Fact na sababu za kueleweka watu tupate maarifa.
 
Kwa conclusio yako nadhani wengi umetuacha na maswali maana unataka kutuambia ukimw haupo na endapo mtu akigundulika ana ukimwi basi ajitibu magonjwa nyemelez kisha atapona kabisa.
MKUU INGEKUWA RAHISI HVYO BASI TUSINGEZIKA WATU KILA SIKU
nashukuru unavomuuliza maswali ambayo ndio hata mimi ninahitaji kujua lakini inavoonekana amekariri kwa kusoma sehemu,
mbona mwanandoa akitoka nje ya ndoa na kutembea na mwenye ukimwi akirudi ndani ya ndoa humwambukiza mwenzake? na baada ya muda hufa wote hadi yule aliechepuka na mmoja wa wanandoa hao?

asitake kudanganya uma hapa
 
Mkuu nakiomba hcho kitabu pls daudjarden@gmail.com
 
Nimewahi kusoma mada zake saaaaaaaaaaana ila sijawahi kuchangia, the guy anaongea the naked truth ila sababu timeshawekwa kwenye zone mbaya that's why tunampinga ila in reality there's nothing as UKIMWI
Anaitwa nani!?? Huko Facebook!?
 
Mmmmh!! Ya kweli haya?
 
Ya kweli haya?
 
Wazungu wameona sasa awarrness na ugonjwa huu imeanza kukua kwa waafrika,wanajaribu kuuwasha moto upya
 
Nimewahi kusoma mada zake saaaaaaaaaaana ila sijawahi kuchangia, the guy anaongea the naked truth ila sababu timeshawekwa kwenye zone mbaya that's why tunampinga ila in reality there's nothing as UKIMWI
Mkuu anaitwa nani nataka kumfollow
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…