Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Status
Not open for further replies.
Acheni uongo wenu *****,juzi nimemzika Dada yangu kwa ukimwi na sababu hakutumia ARV hata siku moja. Kapima zaidi ya Mara 10 anaonekana ana HIV halafu mbweha mmeshiba chakula cha Dada zenu mnakuja kuongea rubbish. Ukimwi upo na unaua.

Swali langu kwenu
Je watu wawili wakipima kipimo cha hiv mmoja akawa nao na mmoja akawa hana. Je nini kinachowatofautisha hapo.
Pole sana mkuu
Alikaa muda gani?
 
Huu ndio ukweli. Kuna Uongo mkubwa sana kwenye habari ya ukimwi. Na Mbeki aliwaambia wazungu wakamnunia kishenzi
 
Wana twambia hivi sasa ukipima Tu unaanza kula mashudu. Itakuwa kuna kitu hapa. Kinacho shangaza Nina ndugu kaugua sana kupima anao. Kurudia baadae hana ila kaambiwa asiache kula mashudu
Yeah sababu akiacha anakufa....maana yamekuwa ndio driving seat yale
 
Huu ni Mpango wa kupunguza idadi ya watu wa dunia ya 3. Waishapata idadi wanayoitaka. Watakuja kuwaambia Ukweli. Maana wanajua kwa kuzaliana nyie ukifika 2050 dunia itakuwa na watu zaidi ya bil 15 na wengi mtakuwa nyie na watashindwa KUWATALA.
Ndio maana manchi kama china hawana stress na hizi maukimwi. Ni dunia ya 3 tu huku.
 
Ndio hapo sasa??? Kwanini nguvu nyingi isielekezwe kwenye kiwahimiza watu wale vyakula safi yaan balanced diet na kufanya mazoezi na kupata muda wa kupumzika vizuri??? They want to do business that's why they hid so many important information from us illiterates
Zamani ilikuwa hvy wakaona hamfi haraka. Na mwili ulivyo kadri muda unavyoenda unajitengenezea kinga ya kupigana na hayo wadudu ndani so utakuwa poa. Ndio maana wakaamua kuleta dawa ambazo zitaua kabisa hizo kinga. So inakuwa ndio boost yako kila siku umeze hata kama hujaanza kuumwa lazima umeze.
 
Ukiwa na maleria wakapima ukimwi utakutwa nao...maana kinga si zimepungua kipimo. But watakupa mashudu uanze kumeza. Ukishameza ndo imekula kwako hata kama ukapima baadae ukajulikana huna bado huwezi acha maana lile ndio dudu lenyewe.
 
Hizi mbwembwe za UKIMWI haupo ni tamu sana kama huu ugonjwa haujagusa mtu wako wa karibu ila siku ukifika karibu yako ndio akili inakaa sawa acha kabisa narudi acha kabisaaa.
ndugu zako wote waliumwa malaria wakapima wakakutwa na hiyo mnaita ukimwi sasa wakapewa ARV ama kipunguza kinga na kiongezaji hapo hapo ndo mana wakaacha wakakufa
 
Jidanganye usitumia uone shuguli za akina " NYEMELEZI" utapata tabu sana
 
yaani ukimwi nazani haupo maana why ni sisi africa tu?
walichofanikiwa ni kututia uoga tena woga kuu ndo maana ukipimwa ukaambiwa unao lazima ukonde hii ni kutokana na mawazo, na ule uwoga uliokuwa nao juu ya ukimwi unaua.
 
yaani ukimwi nazani haupo maana why ni sisi africa tu?
walichofanikiwa ni kututia uoga tena woga kuu ndo maana ukipimwa ukaambiwa unao lazima ukonde hii ni kutokana na mawazo, na ule uwoga uliokuwa nao juu ya ukimwi unaua.
+ sumu za ARV ndio zinakunyonyoa hadi nywele na kuua ini, lazima ufe
 
Mkuu hii mada ya VVU ni pana kuliko baadhi ya members wanavyoichukulia. Inataka utulivu wa akili na tafakuri ya kina ili mtu aruhusu jambo jipya liingie kwenye ufahamu wake tofauti na alivyoaminishwa miaka na miaka.

Iko mada ilipandishwa toka mwaka 2013 moja ya wachangiaji maridadi kabisa ni bwana deception. Kwenye mada hiyo kuna mengi ya kujifunza kuhusu VVU, endapo mtu atapata muda apitie link hapo chini. Apate mambo mapya.

Inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Hivi mkuu Deception yupo wapi?
 
Huu ndio ukweli. Kuna Uongo mkubwa sana kwenye habari ya ukimwi. Na Mbeki aliwaambia wazungu wakamnunia kishenzi


"Sasa jiandae vyema na umsikilize kwa makini kabisa neno baada ya neno(usiruke neno) huyu mgunduzi wa HIV anachosema hapa.Narudia,huyu anayesema hapa ndiye mgunduzi wa HIV.Yaani ni 'mungu' wa wale wanaoamini katika dini ya VVU/Ukimwi.Natarajia kwamba hakuna mtu yeyote duniani atakayepinga maneno yake;msikilize hapa chini;
"You can be exposed to HIV many times without being chronically infected,our immune system will get rid of the virus within few weeks if you have good immune system" Na hata ukimfuatilia Prof.Duesberg(virology machine) anayepinga kuhusu HIV naye alishasema hivihivi.Huyu mungu wao anathibitisha tu maneno ya Duesberg ambayo mwanzo aliyakataa,sasa hivi anaona aibu.

Halafu endelea kumsikiliza anazungumzia matatizo halisi yanayotusumbua hasa katika nchi za afrika.

1.Nutrition/misosi
2.Oxidative stress;Hii nitaizungumzia kwa undani baadaye
3.Clean water

Halafu anasema "their immune system doesn't work well already even if they are not infected with HIV",maana yake ni kwamba, watu wanakuwa na ukimwi hata kabla ya kuingiwa na VVU.

Anaendelea kushauri njia za kupunguza maambukizi ya HIV huyu feki ambazo ni;
1.Nutrition
2.Proper antioxidants
3.Hygiene measures
4.Fighting the specific infection(tusisingizie HIV,tutibu tatizo halisi)

Anaulizwa:"If you have good immune system then your body can get rid of HIV?"
Anajibu:Yes.
Ooooh very interesting!!! au mimi naota?Hebu sikiliza wewe mwenyewe.

Anaendelea kusema tena kwamba;"This is important knowledge which is completely neglected,people always think of drugs and vaccines"

Na mwisho yeye mwenyewe anakubali kwamba alichokisema ni tofauti na kile alichosema kipindi cha nyuma,yaani vinapingana.Huyu jamaa ameingizwa kwenye kundi la watu wenye roho mbaya bila kupenda,sasa roho yake inamsuta na anaamua kusema ukweli.Huyu ndiye mgunduzi wa HIV feki,Robert Gallo alimuibia tu data na yeye ndiye katangazwa kwanza.Walichokigundua hata wenyewe wanajua kwamba hakisababishi Ukimwi,ni njaa tu ndio inawasumbua.

Haya sikiliza sasa;

"

Pamoja na hayo yote,hakuna virus anayesababisha ukimwi.Watu wanashindwa tu kuunganisha dots za maelezo niliyotoa kwa kuwa labda ni mengi sana na hayako kimpangilio kutokana na mjadala ulivyo.Hata wenyewe waliogundua huyo HIV feki wanajua kwamba HIV hasababishi ukimwi na ndio maana kuna wakati wenyewe kwa wenyewe wanapingana.Nitakuleteeni video nyingine inayoonesha kwamba wanapingana halafu ninyi wenyewe muamue.
Na ndio maana huyu mgunduzi alikubali kusema tu hayo lolote na liwe maana ndio ukweli wenyewe.Wengine wanasema HIV peke yake hawezi kusababisha ukimwi,anahitaji co factors,ilihali wengine wanasema HIV peke yake anaweza kusababisha ukimwi bila co factors,nitawaleteeni hiyo video.Unaona sasa penye ukweli uongo hujitenga?

Watu wanaogopa ukimwi kwa sababu ya kasumba tu,neno hili limewaingia vichwani mwao kwa kurudiwa mara kwa mara huku wakioneshwa video za kutisha za wagonjwa bila kujali uhalisia kwamba mgonjwa alikuwa anaumwa nini hasa.Watu wanaogopa kitu ambacho kilikuwapo tangu kabla ya kutangazwa kwa HIV,eti kwa sababu wameambiwa HIV anasababisha ukimwi ndio wanaugopa sasa,kumbe ulikuwapo tangu zamani na hautishi na unatibika kirahisi na wakati mwingine unaondoka wenyewe bila ya wewe kujijua,ukibalisha lifestyle tu uko poa.

Sasa Je,

1.Kuna daktari hapa kwetu anaweza kukwambia kama unaweza kuwa na HIV(feki) lakini kinga ya mwili wako inaweza kumdhibiti na kumtoa kama alivyosema huyu mgunduzi?Vinginevyo wapinge kwamba huyu sio mgunduzi.

2.Huyu mgunduzi anakwambia "people always think of drugs and vaccines" anaposema drugs anamaanisha ARVs kwa maana ndizo zinazotumika kwenye AIDS.Na maana yake nyingine ni kwamba,huwezi kuwa na HIV kama kinga yako iko safi.

Sasa kama mnatakata kujithibitishia wenyewe,muulize daktari yoyote bongo kama anaweza kukubali hayo aliyosema mungu wake.Hapo ndipo utakapoona kwamba kasumba ni kitu kibaya sana.

Wenzetu wazungu sio wepesi kupinga kama sisi ngozi nyeusi.Ushauri huu wengi wanaujua toka kitambo,na ndio maana they don't take a shit kwenye ugonjwa huu feki,wanakula raha tu.

Sisi weusi ndio tumefanywa malimbukeni na shimo la kutupia madawa yao yenye sumu.Halafu eti wanatuambia tuyahifadhi vizuri yasije kuharibika.UNAHIFADHI SUMU YA MWILI WAKO?WE VIPI?

Ama kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Eti unatakiwa uhifadhi vizuri sumu ya mwili wako.Sasa kama kuna daktari yupo,aje kupinga maneno ya huyu mungu wao.


Ndio sisi tulivyo,tunakimbia HIV tunakimbilia ARVs ambazo ndizo mziki mnene wenyewe.Hivi vitu watu hawawezi kuvielewa mara moja mpaka kwanza wajue historia ya medicine na viwanda vya madawa ikoje.Hapo ndio watajua kwamba watu hawana masikhara kwenye biashara.
 
Sisi weusi ndio tumefanywa malimbukeni na shimo la kutupia madawa yao yenye sumu.Halafu eti wanatuambia tuyahifadhi vizuri yasije kuharibika.UNAHIFADHI SUMU YA MWILI WAKO?WE VIPI?.

[emoji3][emoji16][emoji16] Hadi Raha
 
Cc Deception
Huyu jamaa sijui yuko wapi asee,,isije kuwa wazee wenye bizness zao za madawa washamwondoaga duniani asee mana wana mkono mrefu haswaa

btw alishatufungua akili wengi tuu na si tutaendelea kuwafungua wengine kadri ya tutakavyoweza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom