Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

View attachment 2061851View attachment 2061854
Pichani ni GIRIKI mtu mwenye historia ya pekee kwenye tasnia ya udereva nchini.

Licha ya kukimbiza sana gari kwa miaka mingi, hakuwahi kupata ajali

Alafu watu wanasema sauli zinakimbia nachekaga tu

Madreva wa siku hizi wanapapasa tu gari hawaendeshi huyo giriki ni habari nyingine

Siku hizi magari hayakimbii. Zamani Embakassy lilikuwa ni basi lisilokimbia kabisa, la kupanda wazee na wagonjwa. Likitoka Dar saa 12 asubuhi Mbeya linaingia saa 10.30 jioni sio saa nne usiku
Mmesahau kuwa barabara pia siku hizi magari yamekuwa ni mengi kuliko hiyo zamani. Pia safety measures ni nyingi kama kuwepo na police wengi, speed bumps n.k

Sasa kama zama hizo anatoka Dar mpaka Mbeya na njiani hapishani na gari hazifiki hata 100 si anatembea atakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…