Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

Hii kamba, ila kuna dereva mmoja wa Basi la ALLYS alitoka Dar 12 akafika Mwanza 12:45 alivyofika fika tu OCs wa nyegezi stand wa wakati huo mama mmoja bonge kupindukia (afande Groly) na trafiki mmoja Yinga wakampokea na kumradha sero.Unaambiwa watu walishuka hawaamini wapo Mwanza au Nzega
Giriki akiondoka stendi na pingu
Ilikuwa hatari.
 
Wewe unaijua barabara ya Dar to Mby? Maeneo mengi huwezi kutembea na 120.

Na kuna utofauti unapotoka Dar kwenda Mbeya na kinyume chake...

Kawaida toka Dar kwenda Mbeya ni kama unapanda toka ukanda wa chini wa nchi kwenda wa juu...

Kuna effect ya kupanda panda kwa sana milima...
 
Na kuna utofauti unapotoka Dar kwenda Mbeya na kinyume chake...

Kawaida toka Dar kwenda Mbeya ni kama unapanda toka ukanda wa chinj wa nchi kwenda wa juu...

Kuna effect ya kupanda panda kwa sana milima...
Sure, huyu ndugu yangu ananiambia 120km/hr ni average, kwamba kuna muda basi litatembea hadi 160km/hr, nimeshangaa. Sikuwahi imagine kama basi la abiria linaweza kukimbia hata 140, let alone 160km/hr.
 
Niliwai sikia habari zake pamoja na yule wa trip za songea
 
Duuuuh kufika salama n muhimu zaidi kuliko kuwahi ukirusha roho juuu
 
Madreva wa siku hizi wanapapasa tu gari hawaendeshi huyo giriki ni habari nyingine
Zamani kulikuwa na magari machache barabarani, mabasi hayakuwa na speed governor (Ving'amuzi), polisi walikuwa wachache barabarani, vibao vya 50 havikuwa vingi kama leo, matuta(speed humps/pumps) yalikuwa maeneo machache
 
Back
Top Bottom