hata mimi najua jamaa alikuwa anapiga tripu sa dar songea hii ya mbeya siijuiNiliwai sikia habari zake pamoja na yule wa trip za songea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mimi najua jamaa alikuwa anapiga tripu sa dar songea hii ya mbeya siijuiNiliwai sikia habari zake pamoja na yule wa trip za songea
jamaa fix huyu giriki alikuwa anaendesha dar to songea hata picha ya tawaqal hiyo aliyoweka inasoma dar-songeaImposible
Huyu jamaa alikuwa anaendesha kiswele engine nyuma mkuu acha kabisa... kina sauli wanajaribisha tuAlafu watu wanasema sauli zinakimbia nachekaga tu
[emoji38][emoji38][emoji38]adventure la kibabe sanaaaYaah tulikua tumekwama kwamtoro km wiki 2.kurudi huku njia ya manyoni tukaambiwa daraja liko tayari.
Jamaa sijui kammis mkewe unaambiwa mashine ilikua inapigwa Scania ile enzi hizo vumbi tu hadi Dom.
Kuteremka Saranda pale chini mimbio ile katupeleka porini huko ngoma ikalala.
Abiria tukaanza tena kusukuma bus mpk tukaondoka tena.
Hakufa mtu wala kuumia mungu mkubwa.
El ninyo 2000
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Hahaa victoria tours dah ole kanunu!Enzi hizo saa Saba kamili mchana Victoria ilikuwa inaamsha kutoka Mbeya kwenda Iringa
Za mwisho mwisho zilikuwa za route ya Iringa-Dodoma kupitia Mtera zikichuana na akina king cross.Kwenye urafiki babu yangu kabisa mzee chove alidanji sahv kampuni imekufa.
Kusini highlands kulikuwa kampuni mbili zenye injini nyuma kishwele na matema kabla ya newforce na tong zake.Huyu jamaa alikuwa anaendesha kiswele engine nyuma mkuu acha kabisa... kina sauli wanajaribisha tu
Hahah hahaha twesa nkamuHahaa victoria tours dah ole kanunu!
yuko wapi huyu mwamba
Kakosa cha kuongea huyoWadanganye watoto wenzio hapo madrasa.
Labda kwa Cesna.This is impossible
kweli kbsaKusini highlands kulikuwa kampuni mbili zenye injini nyuma kishwele na matema kabla ya newforce na tong zake.
Kwahiyo umekaa ukaona uje kutupiga fix.... Vipi mama kasema Una 2025 fever ... Vipi unastaafu au bado tunaongoza muhimiliKuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Victoria tours Iring/Mbeya Tajiri Edward Mmasi wa Iringa R.I.P) Aaliwaachia watoto mali wakafilisiHahaa victoria tours dah ole kanunu!
Kwenye vumbi ndio utalipenda[emoji38][emoji38][emoji38]adventure la kibabe sanaaa
Manina zaoVictoria tours Iring/Mbeya Tajiri Edward Mmasi wa Iringa R.I.P) Aaliwaachia watoto mali wakafilisi
Ile Matema ilikuwa ilikuwa tamu sana, kuna siku gia zilizingua, ikawa inaenda mpaka nne tu. Uzuri walikuwa na gari nyingi tukafaulishwaKusini highlands kulikuwa kampuni mbili zenye injini nyuma kishwele na matema kabla ya newforce na tong zake.
Uzuri wa injini nyuma mnakuwa comfortable na kelele ya gari haisikiki sana ile ya matema na kishwele zilikuwa 113 nadhani.Ile Matema ilikuwa ilikuwa tamu sana, kuna siku gia zilizingua, ikawa inaenda mpaka nne tu. Uzuri walikuwa na gari nyingi tukafaulishwa