financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hapo sawa😀Saa 4 ya siku inayofuata,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa😀Saa 4 ya siku inayofuata,
Kwenye urafiki babu yangu kabisa mzee chove alidanji sahv kampuni imekufa.Nakumbuka mwaka 2002 hadi 2005 nilikuwa napanda Basi za Urafiki, Shabiby na Hood kutokea Dodoma kwenda Mbeya kupitia Morogoro kipindi hicho barabara ya Dodoma Iringa bado haijakamilika.
Nazikumbuka basi za Shabiby zilikuwa TZR 924 na TZR 925.
Ila katika kukimbia Urafiki ilikuwa kiboko. Dodoma Mbeya via Morogoro saa 10 kamili mmeingia.
Hood alikuwa anachelewa kwakuwa lazima apite kwao Morogoro afanye checkup mtafika saa 1 jioni.
Shabiby nae alikuwa anapita Gairo but atleast saa 11:30 jioni mmekuwa mmefika.
Hii kambaKuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Siwezi kuamini, tena kipindi hakuna lami!View attachment 2061851View attachment 2061854
Pichani ni GIRIKI mtu mwenye historia ya pekee kwenye tasnia ya udereva nchini.
Licha ya kukimbiza sana gari kwa miaka mingi, hakuwahi kupata ajali
Zainab ya Kyela Nkamu, iliyomimina watu wote uwanja wa ndege pale kwenye kona kabla ya kiwira ile mashine mbio zake balaa .ila giriki ilikua habari ingine.Siku hizi magari hayakimbii. Zamani Embakassy lilikuwa ni basi lisilokimbia kabisa, la kupanda wazee na wagonjwa. Likitoka Dar saa 12 asubuhi Mbeya linaingia saa 10.30 jioni sio saa nne usiku
140 inafika vizuuri kabisaSure, huyu ndugu yangu ananiambia 120km/hr ni average, kwamba kuna muda basi litatembea hadi 160km/hr, nimeshangaa. Sikuwahi imagine kama basi la abiria linaweza kukimbia hata 140, let alone 160km/hr.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mkala vumbi ka kutoshaZainab ya Kyela Nkamu, iliyomimina watu wote uwanja wa ndege pale kwenye kona kabla ya kiwira ile mashine mbio zake balaa .ila giriki ilikua habari ingine.
Na kuna Tyson alikua pia na Tawaqal njia ya Shy-Dar alitubwaga saranda pale tukala vumbi la kutosha ila tukafika poa tu.
Minimum speed ilikuwa 60 KphZamani kulikuwa na magari machache barabarani, mabasi hayakuwa na speed governor (Ving'amuzi), polisi walikuwa wachache barabarani, vibao vya 50 havikuwa vingi kama leo, matuta(speed humps/pumps) yalikuwa maeneo machache
Yaah tulikua tumekwama kwamtoro km wiki 2.kurudi huku njia ya manyoni tukaambiwa daraja liko tayari.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mkala vumbi ka kutosha
Ilitokeaje mkuu, yaani aliingiaje lawamani ikiwa si yeye aliyesababisha?Huyo hakuwa giriki , ila lawama alipata yeye, , Giriki kwanza njia yake kubwa ilikuwa ni Dar Mbeya , Songea alikuwa anaenda mara chache chache
Giriki alikuwa dereva maarufu tu, na hiyo gari iliyosababisha ajali alikuwa anaendesha , ila siku ya ajali ,hakuwa yeye ,alikuwa kijana mmoja deiwaka kutoka Iringa .Ilitokeaje mkuu, yaani aliingiaje lawamani ikiwa si yeye aliyesababisha?
Ok naifahamu sehemu hiyo ilipotokea ajali ni pabaya sanaGiriki alikuwa dereva maarufu tu, na hiyo gari iliyosababisha ajali alikuwa anaendesha , ila siku ya ajali ,hakuwa yeye ,alikuwa kijana mmoja deiwaka kutoka Iringa .
Sehemu ilipotokea ajali hadi leo hii ni sehemu hatari, shabiby hakuchuchukua tahadhari hadi anafika eneo la tukio
Halafu ilikuwa inapita Mwanjelwa saa 7:10, ikipita utasikia wahuni wanapiga miluzi na kusema Victoria imeenda na mtu. Maana yake kama hujala mpaka huo muda ndio imeenda na wewe.Enzi hizo saa Saba kamili mchana Victoria ilikuwa inaamsha kutoka Mbeya kwenda Iringa
Tumeingia na hekima sa tisa pia ubungo honi inapigwa.Zamani mabasi yalikua yanakimbia sana. Tumewahi ingia ubungo na Tawaqal ya kyela saa Tisa jioni. Hiyo ilikua 1996
Aisee long time mambo yalikuwa mazuri sanaHalafu ilikuwa inapita Mwanjelwa saa 7:10, ikipita utasikia wahuni wanapiga miluzi na kusema Victoria imeenda na mtu. Maaana yake kama hujala mpaka huo muda ndio imeenda na wewe.
Yupo Ilala, anaendesha malori ya mafutayuko wapi huyu mwamba