Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

Hongera Mkuu. Sio siri ulikuwa na moyo wa chuma kama mie ningeomba kushushwa la sivyo aende mwendo ulio salama.
Basi enzi hizo tulikuwa tuanaona ni fahari sana kuwahi kufika unakoenda. Si unajua tena kipindi cha uanafunzi!
 
Basi enzi hizo tulikuwa tuanaona ni fahari sana kuwahi kufika unakoenda. Si unajua tena kipindi cha uanafunzi!
Ni kweli usemalo Mkuu na ilikuwa gari inayowahi ndo inakimbiliwa.

Nakumbuka unakuta miaka hiyo watu wakisafiri wanawahi kukata tiketi kwa zile basi zinazokimbia ili wawahi kufika.
 
Ni kweli usemalo Mkuu na ilikuwa gari inayowahi ndo inakimbiliwa.

Nakumbuka unakuta miaka hiyo watu wakisafiri wanawahi kukata tiketi kwa zile basi zinazokimbia ili wawahi kufika.
Yaani siku hizi sipendi magari yanayokimbia sana. Nadhani ni utu uzima ndio umenisababishia hiyo hali.
 
Yaani siku hizi sipendi magari yanayokimbia sana. Nadhani ni utu uzima ndio umenisababishia hiyo hali.
Mkuu nadhani ni namna maisha yalivyo sasa ukizingatia vile tunaona madhara ya magari kutembea mwendo kasi basi tunajikuta tu tunajijenga akilini kwamba safari salama ni ile ya mwendo wa kawaida.
 
kwa kuwa tumeamua kupiga story za kuchangamsha kijiwe basi acha na mimi nipige story yangu.

zamani jiji la mbeya lilikuwa mafinga, likaanza kusogea kidogo kidogo na kufika kule liliko sasa.

ndio maana iliwezekana kwa dareva wa bus giriki kuingia mbeya mapema kwa sababu mbeya ya zamani ilikuwa maeneo ya mafinga.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mm niliwahi toka mbeya mjini na gari ndogo saa 12 kamili asbh na nikafika Dar saa 8 kamili mchana.....
Enzi hizo hakuna tochi wala nini barabarani.
 
Mm niliwahi toka mbeya mjini na gari ndogo saa 12 kamili asbh na nikafika Dar saa 8 kamili mchana.....
Enzi hizo hakuna tochi wala nini barabarani.
Hata mimi katika kumbukumbu zangu kuna dereva mmoja pale biafra mkongwe maarufu Dullah kama sijakosea tuliwahi kutoka na coaster 12h-t uyole saa 6 mchana tukafika ubungo shell saa 3 usiku,hii kumbukumbu haitanitoka.
 
Back
Top Bottom