Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hongera Mkuu. Sio siri ulikuwa na moyo wa chuma.Mimi nilikuwa mmoja wao enzi hizo nasoma form v na vi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Mkuu. Sio siri ulikuwa na moyo wa chuma.Mimi nilikuwa mmoja wao enzi hizo nasoma form v na vi.
Average speed ni 80km/hrSure, huyu ndugu yangu ananiambia 120km/hr ni average, kwamba kuna muda basi litatembea hadi 160km/hr, nimeshangaa. Sikuwahi imagine kama basi la abiria linaweza kukimbia hata 140, let alone 160km/hr.
Basi enzi hizo tulikuwa tuanaona ni fahari sana kuwahi kufika unakoenda. Si unajua tena kipindi cha uanafunzi!Hongera Mkuu. Sio siri ulikuwa na moyo wa chuma kama mie ningeomba kushushwa la sivyo aende mwendo ulio salama.
Ni kweli usemalo Mkuu na ilikuwa gari inayowahi ndo inakimbiliwa.Basi enzi hizo tulikuwa tuanaona ni fahari sana kuwahi kufika unakoenda. Si unajua tena kipindi cha uanafunzi!
Yaani siku hizi sipendi magari yanayokimbia sana. Nadhani ni utu uzima ndio umenisababishia hiyo hali.Ni kweli usemalo Mkuu na ilikuwa gari inayowahi ndo inakimbiliwa.
Nakumbuka unakuta miaka hiyo watu wakisafiri wanawahi kukata tiketi kwa zile basi zinazokimbia ili wawahi kufika.
Mkuu nadhani ni namna maisha yalivyo sasa ukizingatia vile tunaona madhara ya magari kutembea mwendo kasi basi tunajikuta tu tunajijenga akilini kwamba safari salama ni ile ya mwendo wa kawaida.Yaani siku hizi sipendi magari yanayokimbia sana. Nadhani ni utu uzima ndio umenisababishia hiyo hali.
kweli Mkuu!Mkuu nadhani ni namna maisha yalivyo sasa ukizingatia vile tunaona madhara ya magari kutembea mwendo kasi basi tunajikuta tu tunajijenga akilini kwamba safari salama ni ile ya mwendo wa kawaida.
Sikujua kama unadharau kiasi hiki kabisaWadanganye watoto wenzio hapo madrasa.
Umejua sasa?Sikujua kama unadharau kiasi hiki kabisa
Sasa hivi nimejuaUmejua sasa?
Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Punguza uongo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
labda kwa msaada wa watu wa ruangwa.Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Mtimbwilimbwi [emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Mbawala chini, kwenye embe.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwa kuwa tumeamua kupiga story za kuchangamsha kijiwe basi acha na mimi nipige story yangu.
zamani jiji la mbeya lilikuwa mafinga, likaanza kusogea kidogo kidogo na kufika kule liliko sasa.
ndio maana iliwezekana kwa dareva wa bus giriki kuingia mbeya mapema kwa sababu mbeya ya zamani ilikuwa maeneo ya mafinga.
Tatizo matuta na tochiMadreva wa siku hizi wanapapasa tu gari hawaendeshi huyo giriki ni habari nyingine
Labda v8 ya polepoleHata V8 ikisafishiwa njia haiwezi kufika Mwanza Dodoma ndani ya masaa5
Zilikuwa zinajaza fastaNi kweli usemalo Mkuu na ilikuwa gari inayowahi ndo inakimbiliwa.
Nakumbuka unakuta miaka hiyo watu wakisafiri wanawahi kukata tiketi kwa zile basi zinazokimbia ili wawahi kufika.
Hata mimi katika kumbukumbu zangu kuna dereva mmoja pale biafra mkongwe maarufu Dullah kama sijakosea tuliwahi kutoka na coaster 12h-t uyole saa 6 mchana tukafika ubungo shell saa 3 usiku,hii kumbukumbu haitanitoka.Mm niliwahi toka mbeya mjini na gari ndogo saa 12 kamili asbh na nikafika Dar saa 8 kamili mchana.....
Enzi hizo hakuna tochi wala nini barabarani.