Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

[emoji38][emoji38][emoji38]adventure la kibabe sanaaa
 
story za vijiwe vya madereva hizo..

Nilikutana na dreva mmoja, alikuwa Dar Express..Anasema kuna siku nawapa abiria raha anafungua daily news anasoma..Siku nyingine, anasema yaani wanasoma gazeti hawa anakimbiza gari abiria wote roho mkononi..
 
Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwamba hapa umeupiga mwingi mpaka umepaisha.
 
Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Kwahiyo umekaa ukaona uje kutupiga fix.... Vipi mama kasema Una 2025 fever ... Vipi unastaafu au bado tunaongoza muhimili
 
Kusini highlands kulikuwa kampuni mbili zenye injini nyuma kishwele na matema kabla ya newforce na tong zake.
Ile Matema ilikuwa ilikuwa tamu sana, kuna siku gia zilizingua, ikawa inaenda mpaka nne tu. Uzuri walikuwa na gari nyingi tukafaulishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…