Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

Sure, huyu ndugu yangu ananiambia 120km/hr ni average, kwamba kuna muda basi litatembea hadi 160km/hr, nimeshangaa. Sikuwahi imagine kama basi la abiria linaweza kukimbia hata 140, let alone 160km/hr.
140kph wengi kabla ya tvs walikua wanakandamiza tu
 
Daaah [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Acha ubishi usiokua na kichwa kwa bus speed 140 ni ya kawaida sana mzee...miaka ya 2015 kurudi nyuma watu walikua wanafuta sana visahani hivyo na hata hizo V8 Zilichapwa sana barabarani.
 
Acha ubishi usiokua na kichwa kwa bus speed 140 ni ya kawaida sana mzee...miaka ya 2015 kurudi nyuma watu walikua wanafuta sana visahani hivyo na hata hizo V8 Zilichapwa sana barabarani.
V8 zipi mkuu kama vx 1hdt tu yenye six inline cylinders basi haifuati tuongee uhalisia sio ushabiki.
 
1HDT ina 150-170HP kama sikosei ndo asumbue Bus lenye 310-380HP tena ukutane na scania kama zile za feo labda mkangafu huo?

V8 ndo atasumbua basi ila dereva awe kichaa...
Mkuu wewe umeangalia kigezo cha HP pekee kupambanisha hizo gari..

Kwa hicho kigezo, hata HoWo haliwezi kusumbuliwa na 1HDT kwasababu tu lina 371hp!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
1HDT ina 150-170HP kama sikosei ndo asumbue Bus lenye 310-380HP tena ukutane na scania kama zile za feo labda mkangafu huo?

V8 ndo atasumbua basi ila dereva awe kichaa...
Mmmh! mkuu ukiangalia hp bila kuangalia hivyo vitu unavyolinganisha vipo class moja ama la unapotea.usije kuandika bulldozer nalo linakimbia kisa lina hp kubwa[emoji23]
 
Mmmh! mkuu ukiangalia hp bila kuangalia hivyo vitu unavyolinganisha vipo class moja ama la unapotea.usije kuandika bulldozer nalo linakimbia kisa lina hp kubwa[emoji23]
Gari ndogo inatakiwa iwe na hp 400 ili ifike 200mph na pikipiki iwe na 200hp ifike speed ya 200mph,unadhani ni kwa nini?
 
Duuh ningekuwa nimepanda hio gari roho ingekuwa juu juu muda wote haki ya nani nisingelala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…