tibe_j
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 794
- 1,071
140kph wengi kabla ya tvs walikua wanakandamiza tuSure, huyu ndugu yangu ananiambia 120km/hr ni average, kwamba kuna muda basi litatembea hadi 160km/hr, nimeshangaa. Sikuwahi imagine kama basi la abiria linaweza kukimbia hata 140, let alone 160km/hr.