Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

Sure, huyu ndugu yangu ananiambia 120km/hr ni average, kwamba kuna muda basi litatembea hadi 160km/hr, nimeshangaa. Sikuwahi imagine kama basi la abiria linaweza kukimbia hata 140, let alone 160km/hr.
Zamani yalikuwa yanakwenda huo mwendo skuizi vts zumeingilia kati
 
Huyo Giriki si aliwahi kusababishwa ajali iliyoua sana mpakani mwa Ruvuma na Njombe?
Ajali ya Shabibu kama sikosei.Mpaka Leo eneo lile wameweka kumbukumbu ya ajali.
Sio kweli,umechanganya madesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…