Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #301
AliponaHuyu Mfikemo kuna kipindi niko pale hotelini kwake nanenane nikasikia amepigwa mapanga na ndugu zake wakimtuhumu kuwaloga.
Ikabidi nihame haraka sana.
Sijui km alipona.