Hakuna kitu kama hiki, hii ni chai, mimi dereva since 1996,nasema huu ni uongoKuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
😆😅Wadanganye watoto wenzio hapo madrasa.
mkuu umerudia kusoma ulichokiandika lkn???Wazungu wanasema Namba huwa hazidanganyi kabisa.
Umbali wa Dar Mpaka Moro ni 680Km
Tukiassume gari ikuwa inatembea Constant Speed ya 120Km/hr kwenye kona Shaaa bila kusimama.
Time = Distance/Speed = Approximately 6hr
Je From Dar to Mbeya unaweza Kutembea na 120Km/hr Mwanzo Mwenga? Tochi? Kwanza Dar Moro to hamna hamna lazima alambe masaa 4 ,Tochi na Speed Camera Bwawani kama Zote ,Ruvu pale akipita na 120 lazima aangushe gari jinsi barabara na upepo utakavyomtupa.
Nilivyoiona hii post yako nilishtuka sana. Dar to Moro ni masaa manne kwa usafiri wa umma na ni masaa matatu kwa usafiri binafsi inategemea na uendeshaji.Hizo kilometer 680 umezitoa wapi?Wazungu wanasema Namba huwa hazidanganyi kabisa.
Umbali wa Dar Mpaka Moro ni 680Km
Tukiassume gari ikuwa inatembea Constant Speed ya 120Km/hr kwenye kona Shaaa bila kusimama.
Time = Distance/Speed = Approximately 6hr
Je From Dar to Mbeya unaweza Kutembea na 120Km/hr Mwanzo Mwenga? Tochi? Kwanza Dar Moro to hamna hamna lazima alambe masaa 4 ,Tochi na Speed Camera Bwawani kama Zote ,Ruvu pale akipita na 120 lazima aangushe gari jinsi barabara na upepo utakavyomtupa.
Muongo mkubwa..!! Alipitia Nairobi kufuata lami au ya SIngida..!?? Wadanganye ambao hawajawahi safiri wakati huoKuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Dar (port)- Moro ni 192 km (roundup to 200 km)Umbali wa Dar Mpaka Moro ni 680Km
Why?Hamna road ya kupita
UwongooooKuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
umeona higo basi ni miaka ya tisini huko gari si nyingi barabarani, hakuna tochi na vijijiWazungu wanasema Namba huwa hazidanganyi kabisa.
Umbali wa Dar Mpaka Moro ni 680Km
Tukiassume gari ikuwa inatembea Constant Speed ya 120Km/hr kwenye kona Shaaa bila kusimama.
Time = Distance/Speed = Approximately 6hr
Je From Dar to Mbeya unaweza Kutembea na 120Km/hr Mwanzo Mwenga? Tochi? Kwanza Dar Moro to hamna hamna lazima alambe masaa 4 ,Tochi na Speed Camera Bwawani kama Zote ,Ruvu pale akipita na 120 lazima aangushe gari jinsi barabara na upepo utakavyomtupa.
Mkuu umiza kichwa tena ,hata kungekuwa hakuna gari hata moja zaidi ya yake yaani atembee 120km kwenye kona shaaa hawezi kutumia huo muda.umeona higo basi ni miaka ya tisini huko gari si nyingi barabarani, hakuna tochi na vijiji
Dereva bado, yuko Kampuni ya Mkwawa Leaf Tobacco Kwa sasa.yuko wapi huyu mwamba
Ya Mkoa gani au Wilaya gani nikampe maua yake?Yuko Mkwawa huyu jamaa anaendesha gari
Dereva bado, yuko Kampuni ya Mkwawa Leaf Tobacco Kwa sasa.
You are under the influence of drugsKuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Gari za Mkwawa zinazungukia mikoa yake yote ya Tumbaku, ila nilikutana naye Mwezi uliopita Kahama.Ya Mkoa gani au Wilaya gani nikampe maua yake?
Hko hapo juu kwenye picha ya kwanza.yuko wapi huyu mwamba