Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

Wazungu wanasema Namba huwa hazidanganyi kabisa.

Umbali wa Dar Mpaka Moro ni 680Km

Tukiassume gari ikuwa inatembea Constant Speed ya 120Km/hr kwenye kona Shaaa bila kusimama.

Time = Distance/Speed = Approximately 6hr

Je From Dar to Mbeya unaweza Kutembea na 120Km/hr Mwanzo Mwenga? Tochi? Kwanza Dar Moro to hamna hamna lazima alambe masaa 4 ,Tochi na Speed Camera Bwawani kama Zote ,Ruvu pale akipita na 120 lazima aangushe gari jinsi barabara na upepo utakavyomtupa.
 
Kuendesha Gari spidi sio kigezo pekee cha kupata au kusababisha ajali.

Na pia ajali nazo zina viwango, hivyo sidhani kama unaweza kupata rekodi sahihi za kwamba hakuwahi kupata ajali zaidi tu ya kujiridhisha kwamba yeye ni mzima na ahana ulemavu.

Kumbuka pia wapo wanaosababishiwa ajali pamoja na kwamba wapo makini kufuata sheria za uendeshaji, hao tuwaweke kundi gani...au tuwaite 'hawakuwa na bahati?".

Hata hivyo kwa vyovyote ilivyomtokea naweza kumpongeza.
 
Wazungu wanasema Namba huwa hazidanganyi kabisa.

Umbali wa Dar Mpaka Moro ni 680Km

Tukiassume gari ikuwa inatembea Constant Speed ya 120Km/hr kwenye kona Shaaa bila kusimama.

Time = Distance/Speed = Approximately 6hr

Je From Dar to Mbeya unaweza Kutembea na 120Km/hr Mwanzo Mwenga? Tochi? Kwanza Dar Moro to hamna hamna lazima alambe masaa 4 ,Tochi na Speed Camera Bwawani kama Zote ,Ruvu pale akipita na 120 lazima aangushe gari jinsi barabara na upepo utakavyomtupa.
mkuu umerudia kusoma ulichokiandika lkn???
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Wazungu wanasema Namba huwa hazidanganyi kabisa.

Umbali wa Dar Mpaka Moro ni 680Km

Tukiassume gari ikuwa inatembea Constant Speed ya 120Km/hr kwenye kona Shaaa bila kusimama.

Time = Distance/Speed = Approximately 6hr

Je From Dar to Mbeya unaweza Kutembea na 120Km/hr Mwanzo Mwenga? Tochi? Kwanza Dar Moro to hamna hamna lazima alambe masaa 4 ,Tochi na Speed Camera Bwawani kama Zote ,Ruvu pale akipita na 120 lazima aangushe gari jinsi barabara na upepo utakavyomtupa.
Nilivyoiona hii post yako nilishtuka sana. Dar to Moro ni masaa manne kwa usafiri wa umma na ni masaa matatu kwa usafiri binafsi inategemea na uendeshaji.Hizo kilometer 680 umezitoa wapi?
Dar to Moro ndio safari zangu, wewe lini ulitumia masaa 6?
Screenshot_20221120-112552.jpg
 
Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Muongo mkubwa..!! Alipitia Nairobi kufuata lami au ya SIngida..!?? Wadanganye ambao hawajawahi safiri wakati huo
 
Wazungu wanasema Namba huwa hazidanganyi kabisa.

Umbali wa Dar Mpaka Moro ni 680Km

Tukiassume gari ikuwa inatembea Constant Speed ya 120Km/hr kwenye kona Shaaa bila kusimama.

Time = Distance/Speed = Approximately 6hr

Je From Dar to Mbeya unaweza Kutembea na 120Km/hr Mwanzo Mwenga? Tochi? Kwanza Dar Moro to hamna hamna lazima alambe masaa 4 ,Tochi na Speed Camera Bwawani kama Zote ,Ruvu pale akipita na 120 lazima aangushe gari jinsi barabara na upepo utakavyomtupa.
umeona higo basi ni miaka ya tisini huko gari si nyingi barabarani, hakuna tochi na vijiji
 
Mkuu umiza kichwa tena ,hata kungekuwa hakuna gari hata moja zaidi ya yake yaani atembee 120km kwenye kona shaaa hawezi kutumia huo muda.
 
Back
Top Bottom