Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

Nash MC alikua akifanya ile Hip hop Ngumu ambayo now days wanasema "haiuzi",
Bora aachane na Muziki atuswalishe tu Msikitini.
Dah yaani amekuwa msafi sana katika imani kwa ile dhahir yake
 
Nash MC alikua akifanya ile Hip hop Ngumu ambayo now days wanasema "haiuzi",
Bora aachane na Muziki atuswalishe tu Msikitini.
Hahaa!!!! Samahan kama nitakuudhi hivi wewe ni me au ke
 
Katika misingi mitano ya Hip hop, yaani Dj, Mc, Freestyle, Breaking dance & Graphit, Huyu jamaa alikua ni mwamba katika angle zipi zaidi?
Anafiti zote 5 kuliko yoyote Africa kiasi cha wewe kumuita kua ye ni Msanii bora wa Hip hop Africa?
Hiyo uliyotaja sio misingi ya hiphop hizo ni nguzo afu pia freestyle sio nguzo ya hiphop
 
Mziki wa hip hop ukiachilia mbali wanaoghani kwa kingereza, mtu hawezi penda wimbo kama haelewi lugha unless upende beat na mtu anavyodondoka.
Kuna msanii wa hip hop Uganda anaitwa Fiki Fameika kule ni msanii mkubwa kwa sasa ana trend sana. Niko kwenye group flani la waganda full kumsifia kumpost yani kumpa kila sifa ana wimbo unaitwa kutama umechukua tuzo kibao kule.
Siku moja nikasema ngoja nikatazame huu wimbo dah yani niliona hakuna analoimba.
Ndipo nikajua kwanini ni ngumu wasanii wetu wa hip hop kuwa bora afrika
 
Back
Top Bottom