Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

View attachment 739483 Hashim Dogo ameacha muziki lakini bado watu wanamuhitaji tofaut na wasanii wengine wengi wapo kwenye game lakini hawana attention kama yeye, nimekutan naye msasani leo ustadhi Hashim hataki tena kufanya muziki yeye kwa Sasa amekuwa ustadhi swala tano

Bongo na Afrika as a whole HAKUNA wasanii wa Hip Hop, wale ni waigizaji tu.
 
View attachment 739483 Hashim Dogo ameacha muziki lakini bado watu wanamuhitaji tofaut na wasanii wengine wengi wapo kwenye game lakini hawana attention kama yeye, nimekutan naye msasani leo ustadhi Hashim hataki tena kufanya muziki yeye kwa Sasa amekuwa ustadhi swala tano
Kwa anaejua Hip Hop ya Bongo, hawezi kukataa hili.Dogo kwa kila kitu alikuwa bora.Kuondoka kwake kwenye game kumefanya Hata kikosi ikose Dira
 
Hata Nash MC nae Allah akimtia ilham time yoyote anaweza kutangaza kuacha mziki. Jamaa yuko pale msikitin Tungi swala tano, na ule udevu wake wakimuffi mashallah!
Abdul Miraj (Kali P) Mashallah, analingania dini siku hz. Kila alhamis anapatikana Markaz. Album yake ya 3 aliitoa studio, akaitia uvunguni, ili haina hata promo ya ngoma 1.
 
Huyu jamaa anakuwa overrated sana. Watu wengi sana wanamuweka ktk legends Wa bongo hiphop ila ukiwauliza ni kwa nini wengi watakwambia jamaa alikuwa anaandika balaa ukiwadadisi zaidi wanakutajia wimbo mmoja tu "Tunasonga" kitu ambacho mi sionagi kitu cha ajabu alichoimba na huenda alibahatisha tu. Sema jamaa inaonyesha ana nyota Kali ya kupendwa hata kama hajui
 
Usiseme hajui hapo unakosea mzee
 
[emoji1] [emoji1] nope, sele hapana ila Dogo Hasheem anakua overrated sana cjaona cha maana alicho fanya Saigon anaweza kua bora kuliko Hasheem
Ndicho nachomwambia huyu Braza,
 
Abdul Miraj (Kali P) Mashallah, analingania dini siku hz. Kila alhamis anapatikana Markaz. Album yake ya 3 aliitoa studio, akaitia uvunguni, ili haina hata promo ya ngoma 1.
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika mambo yake, sio jambo dogo hilo!
 
Yap, wanawake wengi huwa hawapend vitu vya akili, wao taarab vigodoro na diamond, Sasa kumkuta mwanamke anamjua Hashim nadhani upo peke ako
Hapana Mkuu,
Kuna Braza wangu alikuaga akirekodi hizi nyimbo kwenye Audio cassette pale zinapopigwa redioni kisha anazisikiliza enzi hizo,
Sasa sababu alikua mkubwa basi ilibidi nami nizisikilize tu maana redio ndio hiyo hiyo moja, akiweka yeye hakuna mtu kutoa.
Alinifundisha hata ku-scratch kwa kutumia normal radio cassette,
Yaani kile kidude cha "Pause" ndio kilikua kinasugua inafanania kama na CD ilikua scratched,
Nikajikuta napenda tu nyimbo za kina aina hii kina Saigon, Afro reign, Underground Souls, W10N, 2proud, hadi zile Saleh Jabir aki rap kwenye beats za nje nilikuaga nazo
 
Back
Top Bottom