Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Umeshawahi kusoma historia ya ukristo au uislam???? Umeshaona watanzania wamehusishwa humo?
Acha wenge wewe kwani theolojia umesoma peke yako tz nzima???? Lete nondo hizoThanks for that question, nimesoma sana theolojia na nikisema niyajuayo kuhusu hizi dini pengine utajipa vidole kwa hasira ila kwa sasa nanyamaza tu nikikuangalia huku nikikucheka jinsi usivyojitambua.
Zilipotea Kaka yangu,Mambo vipi Lady Ra? Upo vizuri Sana kwa Old School,kama vipi share nasi collection ya old xul ulizonazo.
-Kama unayo Afro Reign - Saa za Kazi ft Hashim Dogo na enzi hizo za 1990-2000.
Daaaa Umepoteza Madini,Thanks for sharing hata hizo tracks mbili Diplomatz na SOs B.Zilipotea Kaka yangu,
Niliziweka kwenye Flash Disc ambayo nilii- format baadae baada ya kuingia virus
Hakuna ya Diplowmatz hapo Kaka, ni Underground Souls na Sos B,Daaaa Umepoteza Madini,Thanks for sharing hata hizo tracks mbili Diplomatz na SOs B.
Shadow of the dark destiny
Thanks a lot........DJ JD ana stocks sana ya mapini hayo nakumbuka alikuwa anayapiga sana kwenye "THE HEAT" Radio1Hakuna ya Diplowmatz hapo Kaka, ni Underground Souls na Sos B,
Labda hii hapa
Kweli aisee,Thanks a lot........DJ JD ana stocks sana ya mapini hayo nakumbuka alikuwa anayapiga sana kwenye "THE HEAT" Radio1
Da siikumbuki labda mpaka niisikie maana kitambo sana,alikuwa anapiga pia na 101.4 FM mida ya saa tatu usiku mpaka nne(Now ni Capital FM)Kweli aisee,
Hivi kama unakumbuka ile instrumental iliyokua ikiendeshea kile kipindi iliitwaje? nlikua naipendaga sana
Nakumbuka kipindi hiko alikua akitangaza hiki kipindi na Sosthenes Ambakisye (Sos B),Da siikumbuki labda mpaka niisikie maana kitambo sana,alikuwa anapiga pia na 101.4 FM mida ya saa tatu usiku mpaka nne(Now ni Capital FM)
Nshalisahau nakumbuka tu jingle zao tu zile za "I know you gonna dig this"Nakumbuka kipindi hiko alikua akitangaza hiki kipindi na Sosthenes Ambakisye (Sos B),
Ni Jingle flan hivi yenye instrumental ilikua ikiimba kila mara,
Hakuna msanii wa mdumange ambaye amefanikiwa kimuziki hata tu kusikika kwenye radio na tvHip Hop Marekani ungesema msanii bora wa mdumange na kwa kuwa umemlinganisha na wenzie wanoimba sindimba ama Isangula ningekuelewa!
Lady ra I wish nikuone one day hata tu niongee na wewe dakika moja dada angu, sijawah kumuona mwanamke yupo deep kwenye hiphop kwa kiasi hiki mpaka kuwajua underground souls na kikosi cha mizingaHakuna ya Diplowmatz hapo Kaka, ni Underground Souls na Sos B,
Labda hii hapa
Mafanikio yapo kwenye siasa pekee muziki mnaimba kupata tuu mademu na umaarufu!Hakuna msanii wa mdumange ambaye amefanikiwa kimuziki hata tu kusikika kwenye radio na tv
Huo mdumange kausikilize uswahilini huko, waswahili tz wapo wachache Sana mbagala huko, wapi singeliMafanikio yapo kwenye siasa pekee muziki mnaimba kupata tuu mademu na umaarufu!
Wewe unaishi ulaya mjini eeh?Huo mdumange kausikilize uswahilini huko, waswahili tz wapo wachache Sana mbagala huko, wapi singeli
Naishi masaki sisi huku masaki hatuna vigodoroWewe unaishi ulaya mjini eeh?