Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

Umeshawahi kusoma historia ya ukristo au uislam???? Umeshaona watanzania wamehusishwa humo?

Thanks for that question, nimesoma sana theolojia na nikisema niyajuayo kuhusu hizi dini pengine utajipa vidole kwa hasira ila kwa sasa nanyamaza tu nikikuangalia huku nikikucheka jinsi usivyojitambua.
 
Acha wenge wewe kwani theolojia umesoma peke yako tz nzima???? Lete nondo hizo
 
Mambo vipi Lady Ra? Upo vizuri Sana kwa Old School,kama vipi share nasi collection ya old xul ulizonazo.
-Kama unayo Afro Reign - Saa za Kazi ft Hashim Dogo na enzi hizo za 1990-2000.
Zilipotea Kaka yangu,
Niliziweka kwenye Flash Disc ambayo nilii- format baadae baada ya kuingia virus
 
kwa MC yoyote anayeandika lazima ampigie saluti DOGO....kipindi icho tunaandika na kushiriki talent show DOGO ndio alikuwa KIOO kwa MC wote hapa DAR ktk kumuigiza uandishi wake yanii VINA, MIZANI... " niwalishe madini ili mnye utajiri".....
 
Thanks a lot........DJ JD ana stocks sana ya mapini hayo nakumbuka alikuwa anayapiga sana kwenye "THE HEAT" Radio1
Kweli aisee,
Hivi kama unakumbuka ile instrumental iliyokua ikiendeshea kile kipindi iliitwaje? nlikua naipendaga sana
 
Kweli aisee,
Hivi kama unakumbuka ile instrumental iliyokua ikiendeshea kile kipindi iliitwaje? nlikua naipendaga sana
Da siikumbuki labda mpaka niisikie maana kitambo sana,alikuwa anapiga pia na 101.4 FM mida ya saa tatu usiku mpaka nne(Now ni Capital FM)
 
Hip Hop Marekani ungesema msanii bora wa mdumange na kwa kuwa umemlinganisha na wenzie wanoimba sindimba ama Isangula ningekuelewa!
 
Nakumbuka kipindi hiko alikua akitangaza hiki kipindi na Sosthenes Ambakisye (Sos B),
Ni Jingle flan hivi yenye instrumental ilikua ikiimba kila mara,
Nshalisahau nakumbuka tu jingle zao tu zile za "I know you gonna dig this"
 
Hip Hop Marekani ungesema msanii bora wa mdumange na kwa kuwa umemlinganisha na wenzie wanoimba sindimba ama Isangula ningekuelewa!
Hakuna msanii wa mdumange ambaye amefanikiwa kimuziki hata tu kusikika kwenye radio na tv
 
Hakuna ya Diplowmatz hapo Kaka, ni Underground Souls na Sos B,
Labda hii hapa
Lady ra I wish nikuone one day hata tu niongee na wewe dakika moja dada angu, sijawah kumuona mwanamke yupo deep kwenye hiphop kwa kiasi hiki mpaka kuwajua underground souls na kikosi cha mizinga
 
Back
Top Bottom