Huyu ndiye Jane Nyamsenda, DC mstaafu wa Sumbawanga

Huyu ndiye Jane Nyamsenda, DC mstaafu wa Sumbawanga

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Huyu ndio DC aliyetumbuliwa jana na mamlaka za uteuzi. Hakika CCM tuna watu!!
75389A94-C08B-4789-AA70-F636F2156FBE.jpeg
C464322C-C9A4-4823-9532-039DD5BF7980.jpeg
687C231B-708A-4123-97EF-4A38BDA5384F.jpeg
E942E891-E63D-4401-9F14-4035BCC66BA3.jpeg
1362C432-4752-48D8-8955-90D9C714E4DE.jpeg
645DF6F8-345A-464B-963D-815B97AC80BC.jpeg
D9445249-07B7-46FB-9035-3451C0BAEB69.jpeg
 
chuma 1hz icho, kikimaliza gear kinatoa mlio wa kipekee sana
Hakuna mtu mnafiki Kama Yule mtangazaji wa ITV kipindi Cha hawavumi lakini wamo. Utamsikia mtangazaji anakuambia kula chuma hicho.

Ukisikiliza sasa hiyo ngoma aliyoitambulisha Kama chuma unabaki mdomo wazi na kuishia kusema kweli wanafiki wapo. Sijui nilitaka kusema nini,point imepotea kichwani.
 
Hakuna mtu mnafiki Kama Yule ntangazaji wa ITV kipindi Cha hawavumi lakini wamo. Utamsikia mtangazaji anakuambia kula chuma hicho.

Ukisikiliza sass hiyo ngoma aliyoitambulisha Kama chuma unabaki mdomo wazi na kuishia kusema kweli wanafiki wapo. Sijui nilitaka kusema nini,point imepoyea kichwani.
Yaani yule mtangazaji ni moja kwa moja motoni kwa dhambi ya unafiki
 
Hakuna mtu mnafiki Kama Yule ntangazaji wa ITV kipindi Cha hawavumi lakini wamo. Utamsikia mtangazaji anakuambia kula chuma hicho.

Ukisikiliza sass hiyo ngoma aliyoitambulisha Kama chuma unabaki mdomo wazi na kuishia kusema kweli wanafiki wapo. Sijui nilitaka kusema nini,point imepoyea kichwani.
hahahaha nimecheka kinoma
ila kipindi ni cha mda, miaka na miaka sasa
wamejitahidi
 
Back
Top Bottom