Huyu ndiye Jane Nyamsenda, DC mstaafu wa Sumbawanga

Huyu ndiye Jane Nyamsenda, DC mstaafu wa Sumbawanga

Ni mzuri tu mbona, hizo picha ukute ni za kitambo hata kamera yake unaeza iona,

Pia kufanana na baba ni changamoto kwakweli
 
Kuna zile website ukiingia google kama unataka kujisajili sehemu ya gender kuna kipengele kimeandika
1.Female
2.Male
3.Other
Hii ya mwisho maana yake nini
 
Hakuna mtu mnafiki Kama Yule ntangazaji wa ITV kipindi Cha hawavumi lakini wamo. Utamsikia mtangazaji anakuambia kula chuma hicho.

Ukisikiliza sasa hiyo ngoma aliyoitambulisha Kama chuma unabaki mdomo wazi na kuishia kusema kweli wanafiki wapo. Sijui nilitaka kusema nini,point imepotea kichwani.
Hahaaaa!!!mzee ZOMBOKO"KULA CHUMA HIYOOOO
 
ccm.jpg
 
Mbona kama crossdresser, mwanaume anaevaa nguo za kike.

Ila haiba yake inahalalisha vituko alivyofanya. Kuna nati ipo loose somewhere.

Na ikawe fundisho kuteua bila kuchunguza.
 
Hakuna mtu mnafiki Kama Yule ntangazaji wa ITV kipindi Cha hawavumi lakini wamo. Utamsikia mtangazaji anakuambia kula chuma hicho.

Ukisikiliza sasa hiyo ngoma aliyoitambulisha Kama chuma unabaki mdomo wazi na kuishia kusema kweli wanafiki wapo. Sijui nilitaka kusema nini,point imepotea kichwani.
Unamjua yule daah hahaha
Hua nikikutana na bro hua kabla ya kusalimiana tunaambiana
kula chuma iko
 
Mbona Kama anaugonjwa usioonekana kwenye vipimo?
Kama CCM wameishiwa watu, si wangeomba TLP au kile chama Cha Cheyo?
 
Hajui pia kupangilia rangi za nguo anavaa kishamba sana !
Hata kina Lupita Nyongo au Oprah sio wazuri ila wanajua nini wavae !
Utasema yuko Ngudu -Mwanza.
Katika miji yooote hapa duniani ambayo ungeweza kuitumia kama mfano ukachagua Ngudu 😳😳😳

Huyu ni Mkurya. Umekosa mji Ukuryani huko ukamfananishia nao? Sijapenda aisee 😁
 
Ukisia watu wanalog nazan hap nawez amin uchaw upo[emoji846][emoji3166]

Tunakodsh daw za kuonekn mwema
 
Back
Top Bottom