Huyu ndiye Jane Nyamsenda, DC mstaafu wa Sumbawanga

Huyu ndiye Jane Nyamsenda, DC mstaafu wa Sumbawanga

Huyu wala siyo LGBTQ, huyo anaonekana kuwa pamoja na elimu nzuri aliyoipata ana aina fulani mental disorder.
WAlikosea kumpa uteuzi wa nafasi hizi za public huyu alipaswa kuwekwa sehemu atakayoishi her full life huku akia kwenye uangalizi fulani.

All in all she has no harm to any ila anahitaji mazingira yanayomfaa kuliko walivyomteua
 
Uongozi sio Mashindano ya ulimbwende, tuheshimu hizo nafasi za uteuzi.
Jane yupo vizuri sana, anaishi maisha halisi na anatendea vema nafasi yake ya uongozi.
Nampongeza sana. Ni bahati mbaya tuu ametenguliwa lakini kitu cha kuzingatia ni kuwa yupo natural sana.
Zaidi sio kila mtu ni mbunifu/mtaalamu wa kuchagua mavazi. Someday atapata mshauri mzuri wa mavazi.

Naamini Mama Samia amemuandalia teuzi nyingine.

"Song - Usifurahi juu yangu" by Upendo Nkone.
 
Mama Samia atakuwa anamuandaa kuwa Rc Dar es Salaam
 
Hakuna mtu mnafiki Kama Yule ntangazaji wa ITV kipindi Cha hawavumi lakini wamo. Utamsikia mtangazaji anakuambia kula chuma hicho.

Ukisikiliza sasa hiyo ngoma aliyoitambulisha Kama chuma unabaki mdomo wazi na kuishia kusema kweli wanafiki wapo. Sijui nilitaka kusema nini,point imepotea kichwani.
Wewe jamaaa jinga Sana ujue nimechekaaa kula
Chuma hiiichooooo!
😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom