TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
[emoji3166]Hasagi huyu kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3166]Hasagi huyu kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahHasagi huyu kweli?
Pamoja na kuangalia picha bado sijaelewa jinsia yakeHuyu ndio DC aliyetumbuliwa jana na mamlaka za uteuzi. Hakika CCM tuna watu!!View attachment 2544974View attachment 2544975View attachment 2544976View attachment 2544979View attachment 2544981View attachment 2544984View attachment 2544986
Alikuwa tomboy kwenye ukuaji wake!Pamoja na kuangalia picha bado sijaelewa jinsia yake
No sitaki niamini ndio huyuHuyu ndio DC aliyetumbuliwa jana na mamlaka za uteuzi. Hakika CCM tuna watu!!View attachment 2544974View attachment 2544975View attachment 2544976View attachment 2544979View attachment 2544981View attachment 2544984View attachment 2544986
chuma 1hz icho, kikimaliza gear kinatoa mlio wa kipekee sana
Eeee[emoji34][emoji34][emoji34]Ukute mzee wa TRAB na TRAT anaenda uvinza kiroho safi kabisa.
Ila huyu fanya umfanyavyo lakini lazima akutie japo dole ndio aridhike.
Me hata simjui anafananajeNdo huyu kiukweli ukweli ??
Aah yule mzee sio bana, anawachuza wenzake wajione mastar kumbe hamna kitu😂😂Lenie na Satoh Hirosh mnajifanya Hanania nq Safira sio?
Mmepatana kumsagia mzee wa hawavumi lkn wapo?🤣🤣🤣
Njoo na daktari wa mbavu chap! [emoji1787][emoji1787]Hakuna mtu mnafiki Kama Yule ntangazaji wa ITV kipindi Cha hawavumi lakini wamo. Utamsikia mtangazaji anakuambia kula chuma hicho.
Ukisikiliza sasa hiyo ngoma aliyoitambulisha Kama chuma unabaki mdomo wazi na kuishia kusema kweli wanafiki wapo. Sijui nilitaka kusema nini,point imepotea kichwani.
Huyu binti ndiyo vichwa huko Uvccm.Ukisia watu wanalog nazan hap nawez amin uchaw upo[emoji846][emoji3166]
Tunakodsh daw za kuonekn mwema
Dahh we jamaa nimecheka sana baada ya kuvuta kumbukumbu ya mtangazaji nikioanisha na uzi wa DC.Hakuna mtu mnafiki Kama Yule ntangazaji wa ITV kipindi Cha hawavumi lakini wamo. Utamsikia mtangazaji anakuambia kula chuma hicho.
Ukisikiliza sasa hiyo ngoma aliyoitambulisha Kama chuma unabaki mdomo wazi na kuishia kusema kweli wanafiki wapo. Sijui nilitaka kusema nini,point imepotea kichwani.
Nimeelewa kwa nini wengine wanapata umaarufu wakiaga Dunia.Huyu ndio DC aliyetumbuliwa jana na mamlaka za uteuzi. Hakika CCM tuna watu!!View attachment 2544974View attachment 2544975View attachment 2544976View attachment 2544979View attachment 2544981View attachment 2544984View attachment 2544986
Huyu hapa bwana, sijui huwa anafikiria nini kusema hivyoHakuna mtu mnafiki Kama Yule ntangazaji wa ITV kipindi Cha hawavumi lakini wamo. Utamsikia mtangazaji anakuambia kula chuma hicho.
Ukisikiliza sasa hiyo ngoma aliyoitambulisha Kama chuma unabaki mdomo wazi na kuishia kusema kweli wanafiki wapo. Sijui nilitaka kusema nini,point imepotea kichwani.