Huyu ndiye Jane Nyamsenda, DC mstaafu wa Sumbawanga

chuma 1hz icho, kikimaliza gear kinatoa mlio wa kipekee sana
Hakuna mtu mnafiki Kama Yule mtangazaji wa ITV kipindi Cha hawavumi lakini wamo. Utamsikia mtangazaji anakuambia kula chuma hicho.

Ukisikiliza sasa hiyo ngoma aliyoitambulisha Kama chuma unabaki mdomo wazi na kuishia kusema kweli wanafiki wapo. Sijui nilitaka kusema nini,point imepotea kichwani.
 
Yaani yule mtangazaji ni moja kwa moja motoni kwa dhambi ya unafiki
 
hahahaha nimecheka kinoma
ila kipindi ni cha mda, miaka na miaka sasa
wamejitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…