Jamaa amekaa kwa tahadhari sana
Ni Mwanaume au Mwanamke?Huyu ndio DC aliyetumbuliwa jana na mamlaka za uteuzi. Hakika CCM tuna watu!!View attachment 2544974View attachment 2544975View attachment 2544976View attachment 2544979View attachment 2544981View attachment 2544984View attachment 2544986
Wewe ni great thinker- best comment ever God bless uUongozi sio Mashindano ya ulimbwende, tuheshimu hizo nafasi za uteuzi.
Jane yupo vizuri sana, anaishi maisha halisi na anatendea vema nafasi yake ya uongozi.
Nampongeza sana. Ni bahati mbaya tuu ametenguliwa lakini kitu cha kuzingatia ni kuwa yupo natural sana.
Zaidi sio kila mtu ni mbunifu/mtaalamu wa kuchagua mavazi. Someday atapata mshauri mzuri wa mavazi.
Naamini Mama Samia amemuandalia teuzi nyingine.
"Song - Usifurahi juu yangu" by Upendo Nkone.
Nakazia ππ¨πMungu nifundishe kunyamaza
πππ Na kwenye faini napo kuna mlio wa kipekeeπchuma 1hz icho, kikimaliza gear kinatoa mlio wa kipekee sana
Amen.Ubarikiwe sana!Wewe ni great thinker- best comment ever God bless u