Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao
Huyu Ndiye Mgombea ambaye wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati, Wanamtegemea achacharike kufanya transformed economics based on agriculture and handicrafts into economies based on large-scale industry, mechanized with manufacturing sector ili wapate madawati wasiketi chini.
Huyu ndiye mgombea tunayetegemea afanye technological advancements haswa katika ulimwengu huu wa AI, Ahangaikie ujenzi wa miundombinu ya kisasa ili kuboost uchumi,
Huyu ndiye kiongozi tunayetarajia asisitize na kuwekeza katika miundombinu na teknolojia, kukuza uvumbuzi na utafiti na maendeleo, kusaidia biashara ndogo na za kati (SMEs), kukuza wafanyakazi wenye ujuzi, kukuza biashara na ufikiaji wa masoko, kuunda mazingira mazuri ya udhibiti, na kuzingatiaatia industrial revolution v 4.0 kama vile uhandisi otomatiki na uchanganuzi wa data ili Tanzania iweze kukuza viwanda na kuinua uchumi wa nchi.
MUNGU IBARIKI TANZANIA