Hana kazi inayomfanya afikiri Ndio maana ana muda wa kwenda kwenye comedy!
Dunia inapitia mambo mengi ambayo yataathiri uchumi wa nchi haswa haswa sera mpya za marekani kuhusu Africa! Huu ndio wakati wa nchi kutafakari jinsi ya kukabiliana na sera mpya za tariff za marekani
na jinsi zitakavyoathiri biashara ya exports zetu ; na kuangalia wapi tufanye adjustments kwenye budget yetu kupunguza makali ya maisha kwa wananchi!
Marekani Wamefuta misaada mingi kwa nchi za nje, serikali yetu tegemezi imejipanga vipi kuziba Miamya ilioachwa kwa Shirika la USAID kufutwa?
Ningeshauri serikali kupunguza matumizi yake ya anasa Kama vile safari zisizokuwa za lazima . Pia kununua magari pale inapokuwa ni lazima badala ya kununua magari ili mradi fedha zimetengwa bila kuangalia uhitaji.