Huyu ndiye kiongozi na mgombea tunayetegemea atumie 'Neoclassical economics' na adadavue 'Complex Economic Boost Projects' Kuondoa umasikini Tanzania

Kuna ndugu zangu walimu wamemaliza vyuo hawan ajira ikiwa serikali Yao inatumia vibaya vinavyokusanywa, na migandamizo katika ukusanyaj Yani buashara ndogo macertificate na maleseni kibao yote pesa. Muamze kumtumia ualimi wenu kuelimisha udhalimi wa fisiemu
 
Mmwisho wa siku ni vijana wa Kenya ndiyo walio ielewa kauli Mwl Jk Nyerere, hapa kwetu vijana wanaimba Samia anaupiga mwingi. Wana wachamba Roma na Ney wa mitego kisa hawaimbi "anaupiga mwingi"
 
Mama mitano tena..

Acha na mimi nitafute umaarufu huko kwenye mavichekesho.
 
Vijana wa Sasa wamegeuzwa machawa na ushabiki wa kupitiliza wa Simba na Yanga. Ukiwakosa huko, unawakuta kwa diamond na zuchu na visungura.
 
Kiongozi anahangaika na mambo ambayo hata hayana/ yana impact ndogo sana kwa uchumi wa nchi as long as inampa mileage kisiasa! Mambo ya ajabu sana.
 
Ameshaanza kutafuta kura
 
😡
 
Tukio zima zinapigwa nyimbo za CCM za Kampeni wakati hata muda wa kampeni kisheria haujafika.

Alafu kuna mijitu inasema eti inaenda kushiriki uchaguzi! Nchi hii ina laana na vichekesho sana.
Sijajua Hofu ya Mama inatoka wapi kiasi hiki
 
Tuliuziwa mbuzi kwenye gunia
 
Sema huyu mama ana muda mwingi sana wa kupoteza.
Hana kazi inayomfanya afikiri Ndio maana ana muda wa kwenda kwenye comedy!
Dunia inapitia mambo mengi ambayo yataathiri uchumi wa nchi haswa haswa sera mpya za marekani kuhusu Africa! Huu ndio wakati wa nchi kutafakari jinsi ya kukabiliana na sera mpya za tariff za marekani
na jinsi zitakavyoathiri biashara ya exports zetu ; na kuangalia wapi tufanye adjustments kwenye budget yetu kupunguza makali ya maisha kwa wananchi!
Marekani Wamefuta misaada mingi kwa nchi za nje, serikali yetu tegemezi imejipanga vipi kuziba Miamya ilioachwa kwa Shirika la USAID kufutwa?
Ningeshauri serikali kupunguza matumizi yake ya anasa Kama vile safari zisizokuwa za lazima . Pia kununua magari pale inapokuwa ni lazima badala ya kununua magari ili mradi fedha zimetengwa bila kuangalia uhitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…