Huyu ndiye Kiongozi na Mwanadamu anayependwa, kukubalika na mwenye ushawishi zaidi kwa sasa hapa nchini

Kila Rais alikuwa na ushawishi kwa awamu yake ya Uongozi.
 
Rais wetu Mpendwa ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu.ndio maana amekuwa mtu mwenye kutenda haki kwa watu wote.
"Mtume (S.A.W) alisema: 'Hakika, kila mmoja wenu ni kiongozi, na kila kiongozi atawajibika kwa alicho kiongoza. Mfalme ni kiongozi wa watu wake, na atawajibika kwa watu wake; na mwanaume ni kiongozi wa familia yake, na atawajibika kwa familia yake; na mwanamke ni kiongozi katika nyumba ya mumewe, na atawajibika kwa nyumba ya mumewe; na mja ni kiongozi wa mali ya mwekezaji wake, na atawajibika kwa mali ya mwekezaji wake.' (Bukhari na Muslim)
 
PhD holder kutoka mzumbe 😀😀😀
Siyo tu Mzumbe bali ni kutoka vyuo mbalimbali.Na ikumbukwe vyuo vingi sana vina mpango wa kumpatia heshima hiyo kutokana na uchapakazi wake uliogusa Maisha ya mamilioni ya watanzania pamoja na kuleta mageuzi makubwa sana hapa Nchini kisiasa,kijamii , kiuchumi n.k.
 
Siyo kila Rais .Ndio Maana unaona wengine huondoshwa madarakani na wananchi kwa maandamano kabla hata ya wakati wao kufika.
Huyu wa kwetu ana miaka michache sana madarakani. Wakimuondoa kwa maandamano watakuwa wamemuonea kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…