Huyu ndiye Kiongozi na Mwanadamu anayependwa, kukubalika na mwenye ushawishi zaidi kwa sasa hapa nchini

Tundu Lisu ndiye kiongozi anayependwa na kukubalika na kila mtu, isipokuw amafisadi na watoto wao. huu ndio ukweli mchungu kwa wengi.
 
Tundu Lisu ndiye kiongozi anayependwa na kukubalika na kila mtu, isipokuw amafisadi na watoto wao. huu ndio ukweli mchungu kwa wengi.
Kwenye chama chake tu kwenyewe hawamtaki na ndio maana hawamuungi mkono.si uliona hata michango yake ilivyokuwa inasua sua?
 
Kwenye chama chake tu kwenyewe hawamtaki na ndio maana hawamuungi mkono.si uliona hata michango yake ilivyokuwa inasua sua?
nakuhakikishia, tungekuwa fair, wakaweza polls electronic kila mtu apige kwa siri, Tundu Lisu anapendwa kuliko mwanasiasa yeyote yule. wapo hadi wanaccm hawatampigia samia kura.
 
Nia na Dhamira yake njema imeliunganisha Taifa na kuifungua nchi kimataifa.

Heshima na ushawishi wa Tanzania katika taasisi na mashirika ya kimataifa hivi sasa, ni wa kiwango cha juu zaidi tangu uhuru, kutokana na ushupavu wa mama huyu na kipenzi cha waTanzania wote, Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🌹
 
nakuhakikishia, tungekuwa fair, wakaweza polls electronic kila mtu apige kwa siri, Tundu Lisu anapendwa kuliko mwanasiasa yeyote yule. wapo hadi wanaccm hawatampigia samia kura.
Hata kura zipigwe na kusimamiwa na tume kutoka Marekani bado Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.Rais Samia anapendwa na kukubalika kuliko hata pesa ya mmarekani
 
Yes,
ukweli usemwe wazi bila kificho.

kuambiana ukweli ni jambo la maana sana kwa ustawi wa jamii yoyote iliyostaarabika gentleman.

Dr.Samia suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania anapendwa mno, anaaminika na anakubalika mno kitaifa na kimataifa kote ulimwenguni.Huu ni ukweli wa kizalendo zaidi 🐒
 
Utashangaa CHADEMA wanachukia na kununa wakati wanajua ukweli kuwa Mama anapendwa kupita kiasi.
 
Hivi Kwa Nini Sasa hivi Tanzania imeongezeka idadi ya wendawazimu?wataalamu wafanye utafiti ili kuliokoa taifa kujua chanzo Cha wendawazimu kuongezeka ili tuchukue hatua kuondoa hii hali
 
Amebakiza miezi 10 arudi KIZIMKAZI,
 
Hivi Kwa Nini Sasa hivi Tanzania imeongezeka idadi ya wendawazimu?wataalamu wafanye utafiti ili kuliokoa taifa kujua chanzo Cha wendawazimu kuongezeka ili tuchukue hatua kuondoa hii hali
Naam dogo ana mental health problem zamani MENTAL DISORDER 🤣🤣 siku hizi neno limepunguzwa makali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…