Huyu ndiye Kiongozi

Ndio mkuu wangepaswa wafanye hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Kwani waliochakachua rasimu ya Warioba ni chama kipi? Kama yeye haliungi mkono hilo kwanini akatoa kauli kwamba katiba mpya si kipaumbele chake?

Acha ujinga wewe? Yaani kitu hakiwezi kuhojiwa uraiani mpaka kihojiwe Bungeni? Ni sheria ipi hiyo inayozuia Wabunge kuihoji Serikali nje ya Bunge? Kitu kimetokea July Wabunge wa upinzani wasubiri miezi miwili ndiyo wakahoji Bungeni wa wapi wewe? Hebu tuwekee kifungu cha sheria ambacho hakiwaruhusu Wabunge kuhoji chochote kile nje ya Bunge.

Eti magazeti ya Tanzania yana tabia ya kuelemea upande mmoja! Na yake magazeti ya kufungia maandazi yanaegemea upande upi? Au hayastahili kuwemo katika magazeti ya Tanzania?

Hujui kwa nini Chadema kinaandamwa? Chadema kinaandamwa kwa sababu ni tishio kubwa kwa chama cha wahuni na mafisadi. Pamoja na propaganda chafu za wahuni na mafisadi wa CCM kwamba Chadema ni chama cha Wachagga na Wakristo lakini katika chaguzi zote kimeongeza idadi ya Wabunge katika mikoa mingi nchini.

Hivi unadhani Pole pole aliposema kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi Ikulu alikuwa anamaanisha ni chama kipi kitaishinda CCM na kuingia Ikulu!? Tia akili kichwani achana na UZWAZWA.


 
Chadema sio tishio kwa kitu mtu yoyote, Chadema sio chama cha kigaidi (well ukiacha Red brigade).

Nilitegenea utaongea yenye mantiki lakini naona misuto ndio imeshika hatamu. Kwahiyo kura ya mtu mmoja imeweza kufanya nchi hii isiwe na katiba mpya. Katiba ambayo unasema imechakachuliwa na hapo hapo rais amesema hiyo katiba iliyochakachuliwa sio kipaumbele chake.

Anyway Chadema mmezoea kutatua matatizo yenu kwa mabavu, lakini kina Rungwe, Mbatia, Cheyo, Kabwe wapo tuu wanatinga siasa kama kawa.
 
Kwa akili yako ya KIZWAZWA, Kikwete kaamua kuja hadharani kuyasema haya, lakini ZWAZWA wewe Chadema si tishio. Sasa kama Chadema si tishio iweje Nduli dikteta uchwara aiogope katiba huru na tume huru ya uchaguzi? Kwanini akipige marufuku chama ambacho si tishio kisifanye shughuli zake za kihalali nchini hadi 2020? Tia akili kichwani acha kutoa povua zito!



 
Haha, yani huyu mliemwita dhahifu na mwaribifu wa rasimu ya katiba leo ndio shujaa. Mm hata Lowassa alikuwa adui leo ni shujaa, Nape vile vile, Sumaye, Kingunge pia. Naamini siku za usoni, Polepole na Magufuli watakuwa mashujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…