Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is photoshop arifu!!View attachment 522080 nje ya Barca
Kweli wewe hujitambui yani hyo ni mechi vs Brazil imechezwa juziThis is photoshop arifu!!
Uko sahihi mkuu!! Cr7 weka mbali na watoto....huyu jamaa ni noma sana!WEKA MBALI NA WATOTO
Hahaha yaani baada ya kufungwa na chile eti nastaaafu mbaaaaafu!! Wewe ni captain au unababaisha?? Hhahaahaa uliona ronaldo alichofanya ureno??Kweli wewe hujitambui yani hyo ni mechi vs Brazil imechezwa juzi
Haya ni maneno na mawazo ya mtu!! Sisi tunaangalia uwezo na sio maneno!!
ndio niliona alichowafanya urenoHahaha yaani baada ya kufungwa na chile eti nastaaafu mbaaaaafu!! Wewe ni captain au unababaisha?? Hhahaahaa uliona ronaldo alichofanya ureno??![]()
mchezaji bora wa kwenda morokoHaya ni maneno na mawazo ya mtu!! Sisi tunaangalia uwezo na sio maneno!!
So far ronaldo hana mpinzani...na msimu huu anachukua mchezaji bora!