Huyu ndiye Lionel Andres Messi (Best Player in History)

Kweli wewe hujitambui yani hyo ni mechi vs Brazil imechezwa juzi
Hahaha yaani baada ya kufungwa na chile eti nastaaafu mbaaaaafu!! Wewe ni captain au unababaisha?? Hhahaahaa uliona ronaldo alichofanya ureno??
 
Hahaha yaani baada ya kufungwa na chile eti nastaaafu mbaaaaafu!! Wewe ni captain au unababaisha?? Hhahaahaa uliona ronaldo alichofanya ureno??
ndio niliona alichowafanya ureno
 
Pigeni kelele weeee, mkimaliza mjue tu Ronaldinho hana mpinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…