Huyu ndiye Lionel Andres Messi (Best Player in History)

pele, maradona, ferguson,de lima. figo na wengine wengi wanaojua mpira wanasema Messi ni Bora kuwahi kutokea kuliko ata Ronaldo na imefikia Mahala wakasema ni Bora Kuliko ata wao Sasa wewe ni Mwanamke Gani unasema CR7 ni bora Kuliko MAGICAL MESSI
Kwaiyo kama hao watu wamekushikia akili zako unataka na wengine washikiwe akili zao?
 
Mguu wa kushoto wa messi ni zaid ya miguu miwili ya cr7 plus kichwa chake
 
KING hana kaul mbaya hata angeulizwa kuhusu Giroud angesema hvohvo kuwa ni mmoja ya wachezaj bora duniani na anaimprove siku baada ya siku
Kama messi anajua ronaldo ni mchezaji bora na ronaldo anajua messi ni mchezaji bora sasa nyie mnabishana nini???

Ooh messi bora kuliko ronaldo na mda huo huo messi mwenyewe anasema ronaldo ni bora na kumpongeza kwa mafanikio!! Yani siwaelewi kabisa!
 
Hahahaaaaa,utetezi wa kitoto sana,sa fainali bila kombe ndio mafanikio?,na ubingwa wa olympic unafanana na ubingwa wa mataifa ya ulaya?????
sasa mmroco alishawahi ifikisha timu yake final ya kombe la dunia?
 
bado huelewi tu
 
Kafanya nini uko Argentina? Mwenzake kaipa Euro Portugal! Argentina ni proof kuwa Messi bila wenzake wa barca hanaga magaga πŸ˜€

Mpaka aliamua kuretire at such a young age!! Amejijua kama nje ya barca na spain nyota haina mwangaza wa kutosha
CR7 alicheza fainali za euro dakika mbili alafu unasemaje ndo aloipa ubingwa we jah?? Eder ndo aloipa ubingwa wa Euro Portugal......sema unajitoa ufahamu tu
 
Kiaipa Olympic kaifikisha Final world cup
Na kazipa taji gani? Unajua nini hebu wacha nikuekee video uone huyo mchezaji wako alivokuwa aking'arishwa na Legend Ronaldinho halafu utajua how dependent he is.

sasa mmroco alishawahi ifikisha timu yake final ya kombe la dunia?

Hahahaaaaa, mkuu,fainali bila kuchukua ndoo ni ukolo,yaani kwenye world record unaifikiria wewe tu ila kwa waelewa kama sisi haina maana kabisa,muulizeni basha wenu guadiola anajua tofauti kati ya LA liga na ligi zinginezo
 
Mi nlipoona anataja wachezaji wake watatu tu duniani nilicheka sana. Eti messi mbele ya dinho jamani. jamaa mpira kaanza kutizama juzi huyu.
Mahaba yakizidi unageuka kuwa mchawi sasa, namheshimu sana gaucho Ila hajamfikia messi kwa magoli, idadi ya makombe isispokua world cup tu, assist, pichichi, golden boots, Uefa, laliga, copa de larey yaani everything......Dinho kamzidi messi labda kwenye kupaka mate mpira, kombe la dunia na kuwa na nyota ya kupendwa na watu baasi.
 
Na kazipa taji gani? Unajua nini hebu wacha nikuekee video uone huyo mchezaji wako alivokuwa aking'arishwa na Legend Ronaldinho halafu utajua how dependent he is.

ni kweli hata hii pasi alipewa na dinho
 
Hahahaaaaa,utetezi wa kitoto sana,sa fainali bila kombe ndio mafanikio?,na ubingwa wa olympic unafanana na ubingwa wa mataifa ya ulaya?????
Eder ndo aloipa ubingwa ureno, punga CR7 baada ya kuona gemu ngumu akazuga kuumia dakika ya pili ili aepuke lawama.....Eder ndo kichwa wa fainali
 
Hahahaaaaa, mkuu,fainali bila kuchukua ndoo ni ukolo,yaani kwenye world record unaifikiria wewe tu ila kwa waelewa kama sisi haina maana kabisa,muulizeni basha wenu guadiola anajua tofauti kati ya LA liga na ligi zinginezo
utofauti upi au wa kufikia kwenye timu iliyojaa wazee πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› umeanza kuhamisha magoli
 
Achana na dinho mkuu,huyo yupo mbali sana,huyo si wa sayari hii,huyo Ronaldo wa ureno tu acha wa Brazil,de Lima,hamkuti,huyo nesi ni wa kawaida sana sijui wanamuoverate VP yaani!!!
Mkuu ufundi wa messi ni wakawaida sana tu. Ni media tu ndio zinampa sifa. Yaani ukitizama chenga zake kwanza ni za kawaida, anachowazidi wenzake ni kuwa sharp tu. Lakini mtu mzima dinho ukimtizama manjonjo yake unajua asa kama ule mpira umempigia saluti, anavisha na kumvua mtu kanzu apo apo, afu brudani yake anatoa pasi ata hatizami na inafika. Ndo mana nkasema huyu ni Engineer. Anajua kuupamba mpira ukapenda kuutizama, yaani mpira akiugusa dinyo tu basi ata kama yupo timu pinzani sura inajawa na bashasha, ndio nkasema ni Artist. Msela wamuache tu, Dinho sijapata kuona!
 
uko sahihi kabsa mkuu kiukweli tunamuheshimu DINHO tena saaaaana ila si kama.anavyodai huyo mshabiki wa Morocco
 
MUANGALIE VZUR KING
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…