Huyu Ndiye Mange Kimambi ambaye uzushi wake unaungwa mkono na Kiongozi Mkuu Wa Chama. Ni aibu!

Status
Not open for further replies.
Sasa hivi hapo Zitto ameunga mkono kilichoandikwa na Mange au reference yake ni hiyo barua ya Ofisi ya Makamu wa Rais ambayo imekimbilia kukanusha?! Hivi hapo mtu anahitaji kufahamu Mange alisema nini ikiwa ataweza kuiona hiyo barua?!
 
Mbona povuuuuu....nani kanuna?!!!Muosha huoshwaaaa...
Alivyokua anamtukuana Lowassa mbona mlikua mnamshangilia sana tu hatukuona mathread kama haya...Leo vipi...?!!

Goes around come back around ten time harder.....!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…