MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Alaah kumbe huyu ndiye mange kimambi, aisee hii serikali ina vichekesho sana, huyu ndiye wa kujibiwa na ikulu, mnatia aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo jamani nimekumiss missNampenda sana mange Jamani. Ananiongezeaga siku za kuishi kwa kucheka
Ndio nini hicho mkuu?Heresy is another word for
freedom of thought.
Hata sikijui mkuu labla unisaidie kutranslate!!Ndio nini hicho mkuu?
Kama mtu aliweza kufunga ndoa na wanawwke wawili ndani ya siku mbili bila wao kujijua unategemea nini? Hao ndo watu wa aina yake.
Hata mimi inanifanya niamini hivyo.Zitto ameshikwa na butwaa pale ambapo ofisi ya makamu wa rais imemjibu Mange,ingekua ni inshu ambayo ni ndogo Zitto alitegemea ofisi ya makamu wa raisi ingepuuzia lakini kwa kitendo cha kujibu alichoandika Mange kimemdhihirishia Zitto kuwa kuna kitu ndani ya taasisi ya uraisi.
Mmmh kiaje mkuuKama mtu aliweza kufunga ndoa na wanawwke wawili ndani ya siku mbili bila wao kujijua unategemea nini? Hao ndo watu wa aina yake.
Mm pia nampenda haogopiNampenda sana mange Jamani. Ananiongezeaga siku za kuishi kwa kucheka
Kweli kabisa mm binafsi namkubaliMange huwa anaandika ukweli ambao wengi hampendi kuusikia lakini ujumbe unawafikia.