Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni rahisi kuamini jambo ambalo unaambiwa hasa ikiwa ndio jambo ambalo ungependa kusikia kwa wakati huo.....Mange huwa anaandika ukweli ambao wengi hampendi kuusikia lakini ujumbe unawafikia.
Thubutu, hata kuchungulia post zake tu mikojo inawatoka.me team mange wa kugalagala kabisa, yaani kila saa moja lazima niingie insta kiangalia kapost nini , nyinyi ccm hivi kuna mwanamke gani hapo kwenu anayeweza kuchambua mambo au kujenga hoja kama Mange ? Juliana ? Vicky ? yule aliyelia bunge lisionyeshwe? kopa? Sofia?
Unawezaje kuunga mkono Uzushi na Kauli za Mtu kama huyu? Au ndo tuseme matatizo yenu yanafanana? Ni aibu sana.
View attachment 395265
Toka ukoTusibaki kumlaumu yeyote yule juu ya Habari hii either ni uzushu au la!!!
Ukishaona Taarifa kama hii kwenye sekta nyeti,tafadhali usikurupuke hata kidogo kubwatuka be Curious (Mtafiti) na kutafuta sababu ya habari hii kuna nini hasa?je ni ukweli?kama siyo kweli ni kwanini kuna habari hii?lengo la habari hii ni nini hasa?
Yangu macho na masikio hadi mwisho wa Season
Mwagika veve...utafungwa jelaa kwa kusema rongooo.....Kama mtu aliweza kufunga ndoa na wanawwke wawili ndani ya siku mbili bila wao kujijua unategemea nini? Hao ndo watu wa aina yake.
Hata kama wakisema unaingiliwa kinyume na maumbile hata kama sio kweli unamaanisha ndo utakuwa hivyo?lisemwalo lipo kama halipo laja
Unawezaje kuunga mkono Uzushi na Kauli za Mtu kama huyu? Au ndo tuseme matatizo yenu yanafanana? Ni aibu sana.
View attachment 395265
Nipo. Pole kwa kunimicUpo jamani nimekumiss miss