Huyu ndiye mdada mstaarabu aliyewahi kutokea JF

Dada emmyta yumo sana JF, tena anachangia kama kawaida, ila kiukweli ni moja kati ya mdada nimpendae ndani na nje ya JF, ni mstaarabu haswa, haboi wala hana mambo ya kijinga.
Popote ulipo dada emmyta, BIG UP SANA
 
Mkuu nitampataje huyu dada ana ofa kutoka kwangu?
 
Nini maana ya Ustaarabu? Coz kila jamii,kila taifa na kila familia hua zina ustaarabu wake na kila mmoja huona ustaarabu wake ni bora zaidi kuliko ustaarabu wa mwingine.
Ni kweli neno ustaarabu sio universal, wengine kuruhusu ndoa za jinsia moja ndio ustaarabu!
 
Hata kama ni mama mdogo hakuna ubaya akipata lunch, ikiwezekana na wewe pia Baba mdogo uwepo kwenye lunch
Umeongea point sana ikiwezekana nayeye awepo wote nitawatoa lunch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…