joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,039
Kwema? nami naomba nikutoe out leo maana wewe ndiyo mwanamke mstaarabu hapa JF.Sema joshydama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwema? nami naomba nikutoe out leo maana wewe ndiyo mwanamke mstaarabu hapa JF.Sema joshydama
Demis nae haonekani, au ndio kashapata ubatizo mpya [emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣 Awww asante joshydamaKwema? nami naomba nikutoe out leo maana wewe ndiyo mwanamke mstaarabu hapa JF.
Nipo serious ujue mama D.🤣🤣🤣🤣🤣 Awww asante joshydama
Hakuna kama chura Mama DKumbe😃😃😃
Wala usipate shidaNipo serious ujue mama D.
Mungu akujalie mwenye chura na akili pia BehavioristHakuna kama chura Mama D
Nimefurahi Kusikia hivyo Mama D. Naomba kujua muda ambao utakuwa free ili nije kukuchukua sasa?Wala usipate shida
Wenye chura hawana akili?😳😳😳Mungu akujalie mwenye chura na akili pia Behaviorist
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Una kiwanda cha kufyatua thread nini?
Muda ndio huo unajongea lunch timeNimefurahi Kusikia hivyo Mama D. Naomba kujua muda ambao utakuwa free ili nije kukuchukua sasa?
Unacheka na kulia at the same time..why?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sijasema hivyo Behaviorist ila nimekuombea kwa Mungu upate mwenye chura inayokutosha na awe akili za kutoshaWenye chura hawana akili?😳😳😳
Nakuja PM mama D tupange vizuri.Muda ndio huo unajongea lunch time