kwa hiyo unanilazimisha mie mtoto wa kiume nimchukie Mwanaume mwezangu bila sababu yoyote kisa binadamu tumeumbwa na chuki?!
Nadhani wewe itakuwa ni mwanamke maana wanawake ndio wenye chuki za namna hii.Mwanamke anaweza kumchukia mtu tu kisa alimuona kwenye movie akimuwekea sumu yule actor kipenzi chake.
Hizo ni tabia za kike na sisi wanaume hatuwezi kuwa nazo umchukie dume mwenzio tena bila sababu yoyote!?
Wanaume tunachukiana tukinyimana deal na siku zote huwa tunaambiana ukweli na yanaisha kama akijatokea kitu.
Haya wewe mwezetu ni Jinsia gani?!
Unahitaji kweli ushauri kumchukia mtu bila sababu huo mtaani tunauita uchawi
Acha masihara wewe, Dr. Dre kaanza kitambo sana kwenye gemu ndo juzi juzi kaiona 1billion Us Doller, kina jay z, beyonce, P. Diddy sidhani kama wameshafika hapo. Sema labda 5.6 T shillings, sio haba kikwetu kwetu!Ni kweli kabisa usemacho, na utajiri wake kwasasa ni 5.6b$.
wewe utakuwa wa juzi kuzaliwa
eti AY havumi wala hajurikani aiseeee 1:4 inakuhusu kabisaa weweAY ni kama timu ya Kagera Sugar. Huwaga ipo kwenye ligi lakini haijawahi kutamba. Hakuna kipindi ambacho AY kakaa namba moja hapa nchini kama msanii anaevuma zaidi. Hata Blue kamzidi sana AY. Kuhusu utajiri wake sina uhakika. Ila tukumbuke ukiwa na hela tena kijana haitafichika kwahiyo AY huo utajiri wake ni mashaka matupu.
We dogo unaelewa ulichoandika au unadhani upo kwenye group lako la whatsapp?Ni kweli kabisa usemacho, na utajiri wake kwasasa ni 5.6b$.
Siujui,mi ninaoujua ni wa A.Y tu,ambao ni 29.7 b$. Au 29,700,000,000 $. Umeamini au hukuamini mi HAINIHUSU.We dogo unaelewa ulichoandika au unadhani upo kwenye group lako la whatsapp?
unajua utajiri wa Jay Z,Dr Dre na Diddy ni dollar ngapi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] impossibleNi kweli kabisa usemacho, na utajiri wake kwasasa ni 5.6b$.
Kinyume cha Nakupenda ni Sikupendi na sio nakuchukia maana yangu unaweza usimpende mtu fulani sawa mimi mwenyewe kuna watu kibao siwapendi ila hiyo haijawahi kufanya niwachukie kwa sababu kumchukia mtu ni tabia za watoto wa kike wanaweza kumchukia wifi yao bila sababu yoyote.Mzaramo,sijakulazimisha kumpenda au kumchukia mtu,ni uamuzi binafsi and im fine with that...
Tatizo ni mimi kutumia haki yangu ya uamuzi wa kumchukia mtu na wewe kuanza ku-catch feelings...
Binadamu wote tumeumbwa innately na upendo na chuki kwahiyo huwezi kusema duniani watu wote ni wanawake.
Ulivyo mnafiki zaidi,huwezi kusema eti maisha mwako hujawahi chukia mtu,huu ni uongo.Just kua mkweli.
Hamna tabia ya kike kama kua mnafiki na kufuatilia utajiri wa wanaume wenzio kama ufanyavyo.
Tukienda kwa mwendo huu hatutafika mwisho wa hii hoja,we'll be running loops.Mpende na mimi simpendi,kila mtu ana uhuru,simple as that.Peace!
Naona umeamua kuchezesha wenzio kidalipo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi nimesema 9.7 b$ ........ Hiyo nimekosea ni 29.7 b$.
Kwasababu MAZOMBI.Naona umeamua kuchezesha wenzio kidalipo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]